The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,421
- 17,018
Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli.
Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone jina la Iphone 12s badala ya Iphone 13.
Specifications sheet haina tofauti yoyote na spec sheet ya mwaka jana.
Hadi sasa Samsung Galaxy S21 Ultra amezifunika zote, Iphone 12 line na Iphone 12s line aka Iphone 13.
Apple kwenye ubunifu alishaachwa nyuma na simu hizi za android kitambo sana.
Tusubiri labda mwaka kesho tukiwa wazima, inasemekana Apple atakuja na Iphone yenye muundo mpya kabisa ya kila kitu under display na kuondoa lile dirisha pale juu ama notch.