Watumiaji wa Techno wote ninaowajua hua wanahasira kama wewe wakiwa wanaitetea SUPER BRAND TECHNO,hahahSijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Kwani TECHNO inavyotumika ni tofauti na hizi simu nyingine?Au yenyewe inahitaji kutumia MANUAL BOOK?Huna lolote hujui tu kutumia
Tehe tehe umejikomboaShika adabu yako
Mimi mwalim wa nursery
natumia Samsung j2
NdioTehe tehe umejikomboa
Hongera ndugu yangu mi Tecno hata ukinipa bure naweza sahau hata kusema asanteNdio
Ishu sio kutumia miaka na miaka,ishu kufukia matakwa ya mtumiaji,mkuu kwani wewe ulifeli darasa la saba ukajiunga veta? Mana huelewi kabisa halafu sasa Mimi kukutana na mitoto kama wewe ni NOVICHOK tu ya kirusi(,Russia) inawafaa.Sijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Muuzie mleta mada mi nina Samsung Note 3Mimi nina hiyo Samsung J3 nikuuziee
Techno hata ikija model yake ikaitwa TECHNO MALAIKA ni buuuuuure tu.
Hahah hizo Simu zinanunuliwa sababu ya umaskini tu mkuu.ni kweli kabisa mkuu!!
Nina akili kiliko hizo za kwako. Nilijua tu. Wengi mtatokwa na mapovu.Ishu sio kutumia miaka na miaka,ishu kufukia matakwa ya mtumiaji,mkuu kwani wewe ulifeli darasa la saba ukajiunga veta? Mana huelewi kabisa halafu sasa Mimi kukutana na mitoto kama wewe ni NOVICHOK tu ya kirusi(,Russia) inawafaa.
Hivi dukani bado zinapatikana kweli?.Nunua Nokia tochi mi nnayo toka 2007 mpaka Leo ...
Yako umenunua wapi mkuu?Mm Tecno yangu ipo Poa. Nikiingia Opera mini Sina tatizo. Inaonekana mmenunua simu zenu karume, tandale, mbagala za mafungu. Mtajijuuuuuuu mm nafurahia na iPad yangu Tecno
Nimemnunulia swalehe janaHivi dukani bado zinapatikana kweli?.
ha ha ha ha, sawa na kubadilishana vits kwa harrierYani ukabadilishana samsung J3 na Tecno
Wonders shall never end