Hakuna siku nimewahi kulewa kama leo

Hakuna siku nimewahi kulewa kama leo

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,121
Reaction score
24,399
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku

Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi

Uzuri nakula bia na nyamaa

Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu

Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia

Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege

Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo

Karibuni tulewe wanangu

Hapa naandika nipo chwiiii

Oyaa ni nomaa

Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki sio kwa Vibe hili.
 
Ukilewa usichati

Cc:
min -me
 
Kamata kamata kamata kamataaa
Kamata kamata kamata ayeeeeeh

Niacheni tu nile bata zama za kale nishaenyeka sanaaaa
Niacheni tu niinjoi huko zamani nishaumizwa saanaaa

Maisha mafupi pi pi, usikunje kunje sura utazeeeka
Usibanebane sana utazikwa nalo 🎼🎼🎼🎹
 
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku

Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi

Uzuri nakula bia na nyamaa

Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu

Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia

Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege

Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo

Karibuni tulewe wanangu

Hapa naandika nipo chwiiii

Oyaa ni nomaa

Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki sio kwa Vibe hili.
Huu sio mwandiko wa mlevi, upo zako unakunywa maji ya tap
 
Back
Top Bottom