Hakuna siku nimewahi kulewa kama leo

Hakuna siku nimewahi kulewa kama leo

Kina adriz hawanywi pombe na kula kitimoto HADHARANI eti haram na dhambi wakati wanaongoza kwa kuuza madawa ya kulevya, wizi na ubakaji.

Wamelundikana jela na magerezani kwa hayo makosa.

Pathetic
 
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku

Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi

Uzuri nakula bia na nyamaa

Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu

Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia

Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege

Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo

Karibuni tulewe wanangu

Hapa naandika nipo chwiiii

Oyaa ni nomaa

Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki sio kwa Vibe hili.
Unaifurahia pombe kumbe unapenda uhai eeh!! Mliwachocha wenzenu wakafa na Mo29 Leo Upo uchagani unagida mbege!!

Kwahiyo mlitaka na D25 watu wakaandamane huko huku nyie mpo kivulini mnalewa 🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom