Hakuna siku mbaya maishani kama hii

mawazo yakipuuzi kabisa, vijana wengi wanafikiri mafanikio ni kua na gari,sasa kama mwenzako yupo kwenye daladala na amejenga? nani ni boya sasa kati ya huyo anaeendesha private na huku hana nyumba! na aliepo kwenye daladala na ana mjengo wake
 
Ukifahamu kwamba Shida zako zinatokana na huo mjina ulojipachika basi utapona. Unashindwa kufahamu kwamba huu ni Utani? Ni lini wabongo mtaacha kujifanya walimu wa mambo ilhali umasikini umewatawala hata katika kope zenu???????
 
sibishani na mashoga mimi, nyinyi ndo wakina kingagwala anawatafuta huku mitandaoni
 
Kinachotufanya maisha yatupige ni kujifananisha na majirani au rafiki zetu pia kuamini gari kama ni symbol ya mafanikio kumbe mtu kadunduliza kanunua gari tu hakuna kingine na wakati mwingine unakuta unamzidi
 
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
Amekwambia nani kusoma ndokufanikiwa kimaisha? Matajiri karibia wote wameishia darasa la saba fanya tafiti.Ivi huwa mnatumia nini kufikiri?
 
Huo ni uboya tu Wa kufikir na wivu Wa kishenz kila MTU na siku yake ya kufanikiwa na kutangulia sio kufika tuna safar ndefu bado kama ukimuona tu anaendesha gar bas amefanikiwa unajua ametumia njia gan je kama aliua? Alipewa zawad fanya kaz kwa bidii acha kujilinganisha ndiyo maana kila mtu ana jina lake humu duniani kuonyesha kuwa tu tofaut
 
Nawale wenye majina yanayo fanana ,,, hawapo tofauti
 
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja
Usilazimishe kuwa na kitu fulani kabla Mungu hajaamua. Ikifika wakati wa kupata ulichokuwa unahitaji haijalishi ukubwa ama udogo wa kipato chako lazima upate tu. Pesa zinapatikana kwa njia na mbinu nyingi ajuaye yote ni Mungu tu na si mwingine.
FB_IMG_1488132184824.jpg
Muangalie huyu sasa, acha kutamani usivyojua asili yake.
 
Back
Top Bottom