tatizo lako hujaokoka au umeona wanaosali tu na sio wenye mungu. suala la kuchepuka kama huna mungu kwa kizazi hiki ni 75% kama mtakuwa hamna mungu ni hatari. maana kuna mwenye mungu na mwenye dini ni watu tofauti. ww mwenyewe unatoka na mkeo kwenda kunywa mapombe na wote mnalewa, ni rahic kesho mtu mwingne kumchukua, kwa sbb pombe ni shetani na ivyo. Jamani Ninawaombea Neema Ya Wokovu Ya Kumjua, Kumpenda Na Kumtumikia Yesu Kristo. Amen. Huo Ndio Usalama