Hakuna refund baada ya mahusiano kufika mwisho

Andishi linameremeta maua hili.

Nachokuombea tu kwa Mungu awe amekujaalia, usiwe kama wale wahubiri wa kwenye mimbari chini ya miamvuli ya dini.

Huwa wanahubiri mambo ambayo hawawezi na hawajawahi kuyafanya!

Mtu anahubiri: 'usizini', pamoja na madhara yote ya dhambi ya uzinzi.

Lakini sasa, yeye mwenyewe huyo anakuja kufia 'gest' juu ya kinena cha mwanamke na dunia nzima inajua!

Tatizo la wanaume ni kama mambwa linapofika suala la mapenzi pamoja na mahusiano.

'Aaargh mimi, mwanamke hanibababaishi'..., huyo huyo unamfuma karundikiwa rundo la nguo akifulishwa, mke kakaa zake akichat, jamaa akidai kupalilia penzi.

Saazingine hayanaga formula mambo hayo ingawa kushituana ni vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…