Hakuna Red Brigade Kigoma?

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,077
Wadau,
View attachment 125026
Ukitumia utundu wa Photo Interpretation (au pengine niseme photo reading), inakuwa kama Mapokezi ya Dr. Slaa kule Kigoma Leo yanaenda bila formation nzuri ya Red Brigade. Au sijaona vizuri? Wenzangu mnaionaje picha hii? Ulinzi wa Kamanda Slaa umekaa vizuri?
 
Hii ni picha ya zamani uliwekwa na kundi la Tuntemeke ili kukichafua chadema.....sio ya kutimia maana ni!
 
ccm ni kikundi cha walaghai wazandiki mamluki...ovyo kabisa na walaaniwe wao na vizazi vyao.....nape jitu patel.
 
Ni kweli mkuu,

Hata hivyo Nimeongea na Makene Muda huu.Dr.Slaa yupo Jukwaani anaendelea na mkutano mkubwa.Anasema hadi CCM wameingia kusikiliza.Picha zitatumwa soon
mnaendelea kutafuta picha za kuedit, tunavyowajua nyie kwa kupenda sifa picha zingekuwa zishakuwa uploaded kitambo sana!! hata jana za kahama mmeweka za mwaka 2011.....ukitaka kuwa muongo lazima uwe smart sana
 
hizo picha inachukua muda gani kuziweka humu?
 
Ben anazidi kujidhalilisha. bora akae kimya tu
 
Kigoma wakiamua wameamua msafara kama wa mgombea udiwani
 
mnaendelea kutafuta picha za kuedit, tunavyowajua nyie kwa kupenda sifa picha zingekuwa zishakuwa uploaded kitambo sana!! hata jana za kahama mmeweka za mwaka 2011.....ukitaka kuwa muongo lazima uwe smart sana

mimi nimeongelea mambo ya red brigade. haya mengine yanatoka wapi jamani....
 
!
!
hizi picha ni za mwaka gani mkuu?
kama hali mpaka leo iko hivi hii serikali hii ya ccm kwa nini isitoke madarakani kwa sababu imeshindwa kwa miaka zaidi ya hamsini kupeleka barabara za uhakika kakonko?....kumbuka miaka hamsini sio nchi changa, ila kama bado ndigo basi imedumazwa.

Kitu nilicho kiona hapa kila eneo ambalo Dr Slaa ana kwenda kufanya mkutano mamuluki tayari wamesha tanguliza watu wao kwa ajili ya kutengeneza uwongo na kusambaza wao.
 
Vijana wa LUMUMBA kweli wanatisha na mbaya hawachoki!
Haya endeleeni za mwizi na wasaliti ni Arobaini na muda mwingine hata hizo siku arobaini hazifiki.
 
Sijakuelewa ndugu. Hii picha nimeitoa humuhumu JF. Huko Lumumba wala hata sijawahi kukanyaga, Nipo zangu manzese hapa. Kwa hiyo mimi si mtu wa Lumumba.

Vijana wa LUMUMBA kweli wanatisha na mbaya hawachoki!
Haya endeleeni za mwizi na wasaliti ni Arobaini na muda mwingine hata hizo siku arobaini hazifiki.

Wadau,
View attachment 125026
Ukitumia utundu wa Photo Interpretation (au pengine niseme photo reading), inakuwa kama Mapokezi ya Dr. Slaa kule Kigoma Leo yanaenda bila formation nzuri ya Red Brigade. Au sijaona vizuri? Wenzangu mnaionaje picha hii? Ulinzi wa Kamanda Slaa umekaa vizuri?
 
Ni kweli mkuu,

Hata hivyo Nimeongea na Makene Muda huu.Dr.Slaa yupo Jukwaani anaendelea na mkutano mkubwa.Anasema hadi CCM wameingia kusikiliza.Picha zitatumwa soon

Watu wanajua kupika propaganda mkutano wa jana walisema picha feki, leo eti kuna vurugu. Na mtoa habari ni TUNTEMEKE so kwenye msafara huo Dr. Kaongozana na virusi?
 
Kitu nilicho kiona hapa kila eneo ambalo Dr Slaa ana kwenda kufanya mkutano mamuluki tayari wamesha tanguliza watu wao kwa ajili ya kutengeneza uwongo na kusambaza wao.

That's what i'm talking about....hii kitu! inaonesha kuna watu wako kwenye mission wamepania.
 
Hii ni picha ya zamani uliwekwa na kundi la Tuntemeke ili kukichafua chadema.....sio ya kutimia maana ni!

Usimsingizie Tuntemeke we mwehu mwehu mwenzio Molemo amekiri alichakachua na kuomba radhi

Hahahahahahahhaaha
Hahahahahahahhahaa
Hahahahahhahahahaaha chadomo vijana wa chadomo majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…