National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Una hela mwanawane 😁😁😁Nina ka laki tatu kamekaa tuu kinasubiria kwenda kwa mrembo
Una hela mwanawane 😁😁😁Nina ka laki tatu kamekaa tuu kinasubiria kwenda kwa mrembo
Nitoe wapi kaka, napiga porojo tuu nilisha shiba ugali wa mama wa kambo hapa nacheza na simu tuuUna hela mwanawane 😁😁😁
Sema wallah😂😂Nina ka laki tatu kamekaa tuu kinasubiria kwenda kwa mrembo
Ngoja nikutumie picha pm uone mwenyeweSema wallah😂😂
Eti mi sio malaya..Mjomba Mwaisa hapa nilikua na mmendea manzi mmoja hivi, sasa siku ya jana akanipatia namba. Leo baada ya kumtafuta mida mida fulani vile mtu mbadi napanga miadi usiku tuonane, ghafla anatuma ujumbe nitumie pesa nikasuke halafu baadae ntakwambia uje kwangu, siyo mbali na hapo ulipo.
Mwanaume siwezi kuja kwako, pengine ni mke wa mtu, Yaani siwezi Kuja kwako. Nikampanga kama vipi usiku ntakwambia uje sehemu fulani halafu ndiyo ntamaliza kila kitu.
Akili yangu ni kumnyadua tu! Basi acha anijibu ooh mimi siyo malaya, kama vipi futa namba zangu na usinitafute tena. Aloo, mtu mbadi nimecheka sina mbavu.
Hamna pesa za bure sasa hivi dada ati, wanaume tunajielewa. Toa utelezi tumalizane, sitaki mambo ya baby baby, hapana.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ebu nioneNgoja nikutumie picha pm uone mwenyewe
Cheki pmEbu nione
🏃♀️🏃♀️🏃♀️Cheki pm
Noma sana mzee, siku hizi wadada wamekuwa nyoko sana. Wao ni kuomba tu hswana hata aibu. Ukitaka uyumbe kiuchumi waendekeze uone...Bata tredi hiyo [emoji16][emoji16]
Nimeipenda sanaa hiii...People are loyal to their needs not you.
Sasa mleta mada apunguze makasiriko🤣
Kuna namna utaki unataka kumbe kimkakati unazuga ila deep down unamind flag😂😂mwandiko wa kihuni huu