Hakuna pesa ya bure dada zetu!

Hakuna pesa ya bure dada zetu!

Mtu kama anakuletea habari huzielewi si uachane nae tafuta unaeona mtawezana.
 
Mjomba Mwaisa hapa nilikua na mmendea manzi mmoja hivi, sasa siku ya jana akanipatia namba. Leo baada ya kumtafuta mida mida fulani vile mtu mbadi napanga miadi usiku tuonane, ghafla anatuma ujumbe nitumie pesa nikasuke halafu baadae ntakwambia uje kwangu, siyo mbali na hapo ulipo.

Mwanaume siwezi kuja kwako, pengine ni mke wa mtu, Yaani siwezi Kuja kwako. Nikampanga kama vipi usiku ntakwambia uje sehemu fulani halafu ndiyo ntamaliza kila kitu.

Akili yangu ni kumnyadua tu! Basi acha anijibu ooh mimi siyo malaya, kama vipi futa namba zangu na usinitafute tena. Aloo, mtu mbadi nimecheka sina mbavu.

Hamna pesa za bure sasa hivi dada ati, wanaume tunajielewa. Toa utelezi tumalizane, sitaki mambo ya baby baby, hapana.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Safi,hii kibingwa sana,siyo mtu anachunwa hadi laki tatu bado hajakaa Kati halafu anakuja kuomba ushauri humu. Hakuna utelezi hakuna muamala, simple!!!!
 
Umenikumbuka upuuzi wa dada zetu.

Kuna dem mmoja na me nilikua namtaman sana, sasa akanipatia namba tukaanza kuwasiliana kama marafiki akanizoea badae nikamtongoza akakubali.

Sasa cha ajabu nj kwamba amekubali baada ya masaa 3 akasema anataka kwenda kusuka!! Kwakua lengo ni kumla tu nikamtumia. Baada ya siku 2 akasema ana shida na 20k nikachoka ila nikampa. sasa nikaja kumgusia swala la ngono akakataa kata kata akasema yeye sio malaya mapema mno.

Nilichokifanya nikapotezea, tukaendelea ila nikawa mgumu kumpa ela tena.. nikamchana ukweli akaninunia nikasema potelea mbali hiyo 40k niliopoteza sio kitu nikafuta namba.

Akaja kupata shida ambayo mimi ndo nlikua na huo mchongo akaja kunitafuta kwanza nilishtuka nikamwambia basi njoo nyumbn tuongee vzr, akaja kweli tukaongea akasema nisamehe yaishe nimsaidie issue yake.. nikamla siku hiyo kwa hasira sana alfu kesho aliponitfuta nikamchana siwez kuwa na mahusiano na malaya. Shida yako nimekusaidia angalia mambo yako.

Saiv amekuwa mshkaji wangu sinaga hata mawazo na yeye tena. Huwa anasemaga tu una kiburi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mamakeeee ni Mwendo wa ugai gai

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Poleeeee totoooo... Umepigwa na kitu kizitooo
 
Umenikumbuka upuuzi wa dada zetu.

Kuna dem mmoja na me nilikua namtaman sana, sasa akanipatia namba tukaanza kuwasiliana kama marafiki akanizoea badae nikamtongoza akakubali.

Sasa cha ajabu nj kwamba amekubali baada ya masaa 3 akasema anataka kwenda kusuka!! Kwakua lengo ni kumla tu nikamtumia. Baada ya siku 2 akasema ana shida na 20k nikachoka ila nikampa. sasa nikaja kumgusia swala la ngono akakataa kata kata akasema yeye sio malaya mapema mno.

Nilichokifanya nikapotezea, tukaendelea ila nikawa mgumu kumpa ela tena.. nikamchana ukweli akaninunia nikasema potelea mbali hiyo 40k niliopoteza sio kitu nikafuta namba.

Akaja kupata shida ambayo mimi ndo nlikua na huo mchongo akaja kunitafuta kwanza nilishtuka nikamwambia basi njoo nyumbn tuongee vzr, akaja kweli tukaongea akasema nisamehe yaishe nimsaidie issue yake.. nikamla siku hiyo kwa hasira sana alfu kesho aliponitfuta nikamchana siwez kuwa na mahusiano na malaya. Shida yako nimekusaidia angalia mambo yako.

Saiv amekuwa mshkaji wangu sinaga hata mawazo na yeye tena. Huwa anasemaga tu una kiburi sana
Duu aisee yaani huu ni zaidi ya ukauzu .
 
Back
Top Bottom