asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Last edited by a moderator:
hakuna binadamu mkamilifu
ila kila binadamu amepewa point of no return
jiulize sana kwanini unaeza kuta mtu yupo kwenye uhusiano anateseka ila haondoki wa nje ndio mnabaki kujiuliza kwanini?
kuna mahali atafikia ataondoka hapo ndo point of no return na tumetofautiana
uvumilivu na kusameheana kupo ila tu usiishi kwenye uhusiano ambao ni mateso kwako
kuna mtu anaeza vumilia kuwa cheated on ila kuna mwingine hawezi,mwingine anaeza vumilia harufu,mwingine hawezi,mwingine uongo etc mi nadhani cha muhimu ni being yourself na kusali.ukiona yamekushinda..:llama:
hakuna formula ya uvumilivu
hata biblia inasema samehe mara 7 mara 70,ila jamani kuna kero za ajabu sana ktk mahusiano,na wengine esp wanaume they dnt care vitu wanavyofanya,wanadhan wanawake tuna roho za chuma,kuna kuchoka jamani,maana ingekua maudhi yanaacha tobo,hakuna moyo wa mwanamke hata mmoja duniani wenye nafas ya kutoboka tena.tukiwachoka mansema tumeanza dharau na michepuko,
Na damu yake uinywe....
Ukinisoma vzr hapo juu utaelewa manake nimemaanisha hivyo....Raha ya mahusiano nikuckilizana km hamckilizani NOWAY...kinachonipa shida kwa baadhi ya walio kwenye mahusiano kila baada ya muda mfupi yuko kwenye tawi jingine ukickiliza sababu hazina mashiko.ni.issue yakurekebisha then mnasonga cz kuishi kwa kuckilizana watu mliokutania ukubwani kunahitajika hekima nakuchukuliana.kwa halo ya.juu sana!
Jamani kusameheana ni kitu muhimu mno. Ukiwa na mpenzi au rafiki mmegombana si vyema kuvunja uhusiano wenu sameheaneni na vumilianeni.
Kwa sababu there is no perfect relationship duniani na ndo maana kuna msamaha kama kungekuwa na perfect relation duniani ina maana msamaha usingekuwepo.
Sameheaneni bila kuchoka
Nimependa maneno yako unaonekana unajitambua hakika!