Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,405
Kabisa mkuu sema baada ya mda unazoea tu unamshusha vyeo na kumuona wa kawaidaMwanamke mwenye tamaa ni mbayaa sanaa..!! Yanii anaweza.gongwaa na yeyoteee
Kabisa mkuu sema baada ya mda unazoea tu unamshusha vyeo na kumuona wa kawaidaMwanamke mwenye tamaa ni mbayaa sanaa..!! Yanii anaweza.gongwaa na yeyoteee
hizo ni hisia kuwa huwezi kumpata mwenye vigezo kama huyo kuwa serious wapo wengi na wenye vigezo zaidi ukitulia sana tu utapata tatizo ni haraka ya kutafutaMkuu upendo alaf ile hofu kuwa labda huwezi mpata mwenye vigezo kama vya huyo msaliti
Kitu kilichofanya nisimlaumu hadj leo nilihisi labda umri bado na anakosa maamuzi but hadi leo hajabadilika tupo nae kitaa anaumiza tuMtoto wa sekondari bado hajawa mwanamke. Unamlaumu bure
Mkuu na mara nyingi majamaa wanakuwaga hawaelewekiMimi kama jamaa ana helaa bhasi fresh ntaumia tuu ilaa sitamwachaa... ilaa ukute jamaa haelewekii hataa... dadekii nampiga chin manzi jumla..
Huyoo bhasi potezea tuu...!! Afuu umbali pia unachangiaa... dawaa usiwe na girl.mmoja bhasiiMkuu na mara nyingi majamaa wanakuwaga hawaeleweki
Mkuu mazoea shida sana kuna wengine umewazoea hata wakizingua wao unajirudi maana unaona dunia yako bila wao haisogeina katika suala zima la mapenz ama mahusiano kuna kitu mazoea hiki ndicho huumiza sana nafsi za watu ila kiukweli ukiamua kabisa kutulia na mtu wako hata awe msaliti bado utamsihi na kumvulia hadi abadilike mi nadhani ni kuwalea kwa namna tofaut
ni kweli so kwa wanaume tunaatakiwa tukiwa katika mahusiano pamoja na kuhitaj baadh ya mambo mazur toka kwao pia ukimbuke kuwa ni mtu anaehitaji sana malez yako ambayo yatamjenga kiimani na haat kukisaidia ww kuinusuru roho yako toka kwa maumivMkuu mazoea shida sana kuna wengine umewazoea hata wakizingua wao unajirudi maana unaona dunia yako bila wao haisogei
Usaliti ni hulka ya mtu tu,hakuna njia ya kuzuia usaliti pasipo muhusika kuamua kuacha usalitiSalaam wakuu wote,
Kwani hakuna namna ya kuzuia usaliti? Na kwanini unasaliti mwenzio wakati ulimkubali na ukaridhika na kila kitu toka kwake ama ni muda mchache unautumia kumchunguza tabia zake?
Natamani kujua vyanzo vingi vinavyopelekea watu kusalitiana hali ya kuwa walichaguana wakiwa wana uhakika wameshibana na kupendana sana.
Nawasilisha mada jamani
Mtazamo wenu na njia za kufuta ilikupunguza kasi ya visasi vya usaliti maana havina matokeo mazuri kabisa.
hiyo ndiyo njia yangu pia,kama utakumbuka ile ishu nlisema. dawa unakuja kumpenda ghafla mapenzi ya juu hadi anashangaa kumbe wewe una lako moyoni muda si mrefu unakuja kumuacha tu ghaflaMe nkigundua umenisaliti huwa naonyesha upendo wa hali ya juu kwa mda flani..afuu ghafla napigaa kimyaaa..!! Na kamwe siji kukwambia sababu....
Simu sipokei wala Msg sijibuu...!! Yani balaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo ndiyo njia yangu pia,kama utakumbuka ile ishu nlisema. dawa unakuja kumpenda ghafla mapenzi ya juu hadi anashangaa kumbe wewe una lako moyoni muda si mrefu unakuja kumuacha tu ghafla
dawa ni hiyo tu hakuna namnaSimu sipokei wala Msg sijibuu...!! Yani balaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app