Hakuna ngumu kama kuacha Pombe

Ni kujicontrol tu. Mimi nimeacha tena nilikuwa napiga Embassy kabisa
Kiongoz we ulikua unavuta sigara za kimataifa kabisaaaa,nafikiri sigara ngumu kuacha in hizi za being chee sm na sportsman,sigara Kali nk.
Yan hizo MTU anaweza maliza pakit moja na nusu kwa simu na bado akawa anagongea kwa washkaji zake
 
Ni kweli mkuu, embassy ukipiga 3 tu unakuwa vizuri

California love
 
Km upo DSM pale kivukoni ngambo ya pili zinapovuka gari za staff kuna mzee anauza miti shamba nunua dawa yake piga iyo mambo kasema je ukiona beer tu unajificha mwenyewe!
 
Si pombe pekee..kitu chochote ulichokiwekea mazoea kwenye matumizi ni ngumu kukiacha...jitahidi tu Anza kupunguza idadi uliyoizoea.. utaacha tu..mdogo mdogo
Ulimpa ushauri mzuri!
 
Kiongoz we ulikua unavuta sigara za kimataifa kabisaaaa,nafikiri sigara ngumu kuacha in hizi za being chee sm na sportsman,sigara Kali nk.
Yan hizo MTU anaweza maliza pakit moja na nusu kwa simu na bado akawa anagongea kwa washkaji zake
kitu sportsman
 
Utaachaje Pombe ni Rafiki wa kweli asemagi uongo kichwani, inakupa furaha ya ukweli sio yakiunafiki, inaondoa haibu, Unakuwa jasiri, Inaondoa Mawazo.
 
Kuacha pombe nimeshindwa japo punyeto Nina miaka 5 nimeacha lakn naamin na pombe taacha tabu marafik
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…