Hakuna ngumu kama kuacha Pombe

Pombe sio mbaya just drink responsibly. Maisha ndo haya haya
 
Hujaishiwaa helaa wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si pombe pekee..kitu chochote ulichokiwekea mazoea kwenye matumizi ni ngumu kukiacha...jitahidi tu Anza kupunguza idadi uliyoizoea.. utaacha tu..mdogo mdogo
Ila mi naonaga kwenye vitu vibaya tu ndo kuviacha ni vigumu
 
Jamaa itakua hujawah kuwa mpiga punyeto + kutazama picha za X.
 
Mkuu mimi nilisema nimeacha baada ya kuka miaka 4 ila nikipata fungu kubwa lazima nikanyweee tena ile fukia mbwaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…