Nimejaribu kuangali kupitia umoja wa mataifa kama kuna nchi hii inayo jiandaa kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.Nimejiuliza maswali mengi mojawapo kwanini nchi inakataa kuwa membe wa UN kwa mda wote huu tangia ijipatie uhuru wake?
Kwa kufatilia zaidi ni ikanibidi ni ingie Google lakini huko pia sikupata web address ata home page ya hii nchi ya Tanzania Bara.
Nimekuja shangaa kuona kwamba Tanzania Bara inatambulia na FIFA lakini UN haitambui duh hapo ni kawaza tena.Kurudi tena Google nikitaka kuangalia nchi ya Zanzibar wakanipa kila kitu yaani home page imejaa taharifa zote za Zanzibar mfano muundo wa serikali,ramani,wizara etc.
Je Tanzania Bara ni nchi au siyo nchi na iko bara gani kwani hamna taarifa zinazoionesha kama hili taifa lina ishi hapa Duniani.Mwenye kujua anishulishe kwa njia zozote zile.
Hapa ndipo ninapo shindwa kumwelewa j.k. Nyerere. Kuua identity yetu kupoteza utaifa wetu kwa utashi na kupenda kwake sifa.
Sasa na wewe unavuruga mambo. Umoja ni nguvu, Marekeni ina nguvu kwa ajili ya kuunganisha majimbo. majimbo yalikubali kuua utambulisho nwake na sasa wamesimama kidedea duniani. Alikuwa na nia safi tu.
Hiyo nia yake safi ilipotelea wapi? Maana tunaona ni kama kiini macho tu, hakuna Tanganyika wala Tanzania Bara eti Tanzania.Sasa na wewe unavuruga mambo. Umoja ni nguvu, Marekeni ina nguvu kwa ajili ya kuunganisha majimbo. majimbo yalikubali kuua utambulisho nwake na sasa wamesimama kidedea duniani. Alikuwa na nia safi tu.
Nimejaribu kuangali kupitia umoja wa mataifa kama kuna nchi hii inayo jiandaa kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.Nimejiuliza maswali mengi mojawapo kwanini nchi inakataa kuwa membe wa UN kwa mda wote huu tangia ijipatie uhuru wake?
Kwa kufatilia zaidi ni ikanibidi ni ingie Google lakini huko pia sikupata web address ata home page ya hii nchi ya Tanzania Bara.
Nimekuja shangaa kuona kwamba Tanzania Bara inatambulia na FIFA lakini UN haitambui duh hapo ni kawaza tena.Kurudi tena Google nikitaka kuangalia nchi ya Zanzibar wakanipa kila kitu yaani home page imejaa taharifa zote za Zanzibar mfano muundo wa serikali,ramani,wizara etc.
Je Tanzania Bara ni nchi au siyo nchi na iko bara gani kwani hamna taarifa zinazoionesha kama hili taifa lina ishi hapa Duniani.Mwenye kujua anishulishe kwa njia zozote zile.
Wewe umekurupuka kwakuchangia bila kusoma mada lasivyo uwezo wako wakuelewa utakuwa ni mdogo sana:Mtoa thread hoja yake hapa nikwamba hakuna Nchi inayoitwa"TANZANIA BARA"Je wewe unaifahamu Nchi hiyo?Na je inatambulika duniani na kama tunavyoelewa Nchi zote zilizo huru ni Members wa UN,je Tanzania Bara ni mojawapo.Swala la umoja hiyo ni issue nyingine.
Hujasoma majibu yangu ya mwanzo. Soma juu kwanza upate niliyosema juu.
Unaanza matusi, character assassination, wewe sio muungwana. Ngoja nikuache maana siko style ya kwako. Wewe sio kundi langu.
Mimi nadhanani kuna haja ya somo la uraia lifundishwe siyo tu shuleni , nafkiri hata barabarani, makanisani, misikitini , kwenye baa na kote kwenye mikusanyiko ya watu. Hivi Wakati Tanganyika inaungana na Zanzibar kulikuwa na Tanzania? Chemsha ubongo wako . Nimeamini sasa kweli humu JF kuna watu si raia wa nchi hii. ukiamua kusema Tanzania bara , sema pia Tanzania visiwani na ukiamua kusema Zanzibar, kumbuka pia kulikuwa na Tanganyika. Ila kwa kuwa hakuna serikali 3 ndiyo maana mmezoea kuita Tanzania bara na Zanzibar. Upo hapo? huwezi kupata Tanzania bara kokote ukishatoka nje ya mipaka ya nchi yetu, bali utapata Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama hujaelewa basi. Tatizo humu mmekalia majungu, chuki binafsi, roho mbaya. Jifunzeni historia ya nchi yenu mbona vitini vinavyoelezea historia ya Tanzania viko vingi?Nimejaribu kuangali kupitia umoja wa mataifa kama kuna nchi hii inayo jiandaa kuazimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.Nimejiuliza maswali mengi mojawapo kwanini nchi inakataa kuwa member wa UN kwa mda wote huu tangia ijipatie uhuru wake?
Kwa kufatilia zaidi ikanibidi ni ingie Google lakini huko pia sikupata web address ata home page ya hii nchi ya Tanzania Bara.
Nimekuja shangaa kuona kwamba Tanzania Bara inatambulia na FIFA lakini UN haitambui duh hapo ni kawaza tena.Kurudi tena Google nikitaka kuangalia nchi ya Zanzibar wakanipa kila kitu yaani home page imejaa taharifa zote za Zanzibar mfano muundo wa serikali,ramani,wizara etc.
Je Tanzania Bara ni nchi au siyo nchi na iko bara gani kwani hamna taarifa zinazoionesha kama hili taifa lina ishi hapa Duniani.Mwenye kujua anishulishe kwa njia zozote zile.
Mimi nadhanani kuna haja ya somo la uraia lifundishwe siyo tu shuleni , nafkiri hata barabarani, makanisani, misikitini , kwenye baa na kote kwenye mikusanyiko ya watu. Hivi Wakati Tanganyika inaungana na Zanzibar kulikuwa na Tanzania? Chemsha ubongo wako . Nimeamini sasa kweli humu JF kuna watu si raia wa nchi hii. ukiamua kusema Tanzania bara , sema pia Tanzania visiwani na ukiamua kusema Zanzibar, kumbuka pia kulikuwa na Tanganyika. Ila kwa kuwa hakuna serikali 3 ndiyo maana mmezoea kuita Tanzania bara na Zanzibar. Upo hapo? huwezi kupata Tanzania bara kokote ukishatoka nje ya mipaka ya nchi yetu, bali utapata Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama hujaelewa basi. Tatizo humu mmekalia majungu, chuki binafsi, roho mbaya. Jifunzeni historia ya nchi yenu mbona vitini vinavyoelezea historia ya Tanzania viko vingi?
Hapa ndipo ninapo shindwa kumwelewa j.k. Nyerere. Kuua identity yetu kupoteza utaifa wetu kwa utashi na kupenda kwake sifa.
Kama umekosa tanzania bara hebu jaribu Tanganyika, ninivyo jua mimi ni tanzania bara au Tanganyika, just wondering why wewe hukufikiria jina Tanganyika. Vilevile jaribu tanzania visiwani, sio Zanzibar. Hata hivyo umezungumzia Zanzibar napata taabu kwanini huku zungumzia Tanganyika?
hawezi kuizungumzia Tanganyika kwakuwa hiyo nchi ya Tanganyika ilijibadilisha na kuitwa Tanzania. Kwahiyo imebaki historia.
Ameamua kuzungumzia Tanzania Bara kwa kuhusisha na sherehe ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara (hawajasema Tanganyika), kwahiyo anajiuliza hiyo Tanzania Bara iko wapi?.
@Mzee, hivi kwa mfano mwaka 1970 anazaliwa mtoto (wa kike kwa mfano) na kupewa jina Maria Joseph. Then miaka 25 baadaye Maria anaolewa na Anthony Kulawa hivyo akachukuwa jina la mume wake na kuitwa Maria Kulawa. Baada ya miaka miwili Maria na Anthony Kulewa wanapata mtoto wa kiume na kumuita Jacob na hivyo kuwafanya wazazi hawa kuitwa Mama Jacob na Baba Jacob.
Hivi kama huyu Mama Jacob (au hata Baba Jacob) akifanya birthday anatakiwa ahesabu tangu alipozaliwa na kuitwa Maria Joseph au tangu alipoolewa na kuitwa Maria Kulewa, na ahesabu tangu alipopata mtoto na kuitwa Mama Jacob? Na tukumbuke kuwa kila linapotokea badiliko kwenye jina kile cheti cha ubatizo kinabakia vile vile (Maria Joseph)
Sasa, uhai wa Tanzania bara uhesabiwe kuanzia kuzaliwa (Maria Joseph/Uhuru 1961) au ndoa (Maria Kulewa/Jamhuri ya Muungano 1964). Na kama tutahesabu uhai wa Tanzania tofauti na tarehe ya kuzaliwa tutafanya hivyo kwa evidence ipi? Kwamba Tanganyika ilikufa - lini? ikazikwa - wapi? Na hivi ni kweli Tangayika ilikufa au ilibadilisha jina? Swali la la msingi hapa ni hili, tunasherehekea uhai nchi huru au jina?
Mkuu mfano wako ni mzuri lakini hauendani vyema na issue hii.@Mzee, hivi kwa mfano mwaka 1970 anazaliwa mtoto (wa kike kwa mfano) na kupewa jina Maria Joseph. Then miaka 25 baadaye Maria anaolewa na Anthony Kulawa hivyo akachukuwa jina la mume wake na kuitwa Maria Kulawa. Baada ya miaka miwili Maria na Anthony Kulewa wanapata mtoto wa kiume na kumuita Jacob na hivyo kuwafanya wazazi hawa kuitwa Mama Jacob na Baba Jacob.