Hakuna Mwanaume m'babe mbele ya Mwanamke anaempenda

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,016
1,501
Uko Wapi ubabe wa mwanaume mbele ya mwanamke anaempenda!?huwezi amini lakini ndio ukweki wenyewe, Mwanaume nikiumbe dhaifu sana kwa mwanamke wake, ubabe wa mwanaume unaishia kwa MTU baki na kwamwanamke wake.

Achana na baunsa "mbavu Nene" kuna jambazi mwenye silaha anaweza kumripua yeyote yule bila kufikiria lakini ukimkuta kwa bibie huwezi amini, anaweza hata kushikwa kalio na akacheka, mbele ya mpenzi wake mwanaume ni sawa na mtoto, tofauti kubwa ni kwamba yeye mwanaume ndio mchumi.

Mwanaume yupo tayari umshambulie yeye lakini usimguse mkewe, yeye mwanaume ashinde njaa lakini mwanamke wake ale kwa kuchagua CHAKULA akipendacho, Mwanaume mchafu bibie ng'aring'ari, hajali.

Wanaume tukiwa wenyewe kwa wenyewe tunavyojisifu kwa kudhibiti wenza wetu ni nani awezae kumpinga mwenzie!? Ila tukiingia ndani aibu. Hivi ni nani kati yetu sisi wanaume ambaye anauwezo wa kuhamisha nguvu zilizokwisha shuka chini nakuzirudisha kifuani ili afanye ubabe wakati ule kishazungushiwa upande wa Kanga kiunoni anasindikizwa bafuni kuoga!? Hivi wanaume tunakwama Wapi?
 
Ninaoweza kuwapenda wapo wengiiiiiiii sanaaa.

Kwanini nishindwe kuishi kwa haki.
Mtoa mada ask your God for wisdom.

Nimesoma Title pekee.
 
Ok nenda chooni kwanza mzee baba
tapatalk_1496328033797.jpeg
 
Kumbe kutomfanyia mke ubabe nako ni kukwama?
Uko Wapi ubabe wa mwanaume mbele ya mwanamke anaempenda!?huwezi amini lakini ndio ukweki wenyewe, Mwanaume nikiumbe dhaifu sana kwa mwanamke wake, ubabe wa mwanaume unaishia kwa MTU baki na kwamwanamke wake, Achana na baunsa "mbavu Nene" kuna jambazi mwenye silaha anaweza kumripua yeyote yule bila kufikiria lakini ukimkuta kwa bibie huwezi amini, anaweza hata kushikwa kalio na akacheka, mbele ya mpenzi wake mwanaume ni sawa na mtoto, tofauti kubwa ni kwamba yeye mwanaume ndio mchumi. Mwanaume yupo tayari umshambulie yeye lakini usimguse mkewe, yeye mwanaume ashinde njaa lakini mwanamke wake ale kwa kuchagua CHAKULA akipendacho, Mwanaume mchafu bibie ng'aring'ari, hajali, Wanaume tukiwa wenyewe kwa wenyewe tunavyojisifu kwa kudhibiti wenza wetu ni nani awezae kumpinga mwenzie!? Ila tukiingia ndani aibu. Hivi ni nani kati yetu sisi wanaume ambaye anauwezo wa kuhamisha nguvu zilizokwisha shuka chini nakuzirudisha kifuani ili afanye ubabe wakati ule kishazungushiwa upande wa Kanga kiunoni anasindikizwa bafuni kuoga!? Hivi wanaume tunakwama Wapi?
 
Back
Top Bottom