Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,231
- 50,061
Wa hivyo anakera na mara nyingi anakua sio mstaarabu.wa hivyo mpo ila wenye kero pia wapo, mimi hakuna kitu sipendi kama maneno yaaani sipendi mpaka sipendi tena. Ukitaka kuninyima kitu tanguliza maneno hata sitohangaika nawe. Nadhani ndio maana sipendi mwanamke muongeaji sana
Wewe inatakiwa upate mtu mpole, usipate kivuruge atakustress