Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu.

Nawashauri wanawake wenzangu tujiheshimu, tuwe na principle zetu. Usimuonee mtu huruma wala nini, hakuna jipya.

Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa.

Mwenyekiti wa CHAPUTA-kinamama.

tunza bikra tukafaidiwe mbinguni na alshababu.kwenye bikra zao 70

Sikukuu njema.
Utambwela wee mwisho utaikalia tu. Mwanamke kukwepa dyudu ni ngumu
 
kuna faida gani kumtetemekea mwanaume kwenye mahusiano hata hujui future yake,unatumika wee ,au unatembea na mume wa mtu unagegedwa kwa wizi .maisha gani hayo si bora ukae tu
Kweli madame.....usiku ikifika anapeleka kengele zake kwa mkewe tena anakuonya usinipigie cm nitakua na wife
 
Ushauri wako ni wa kinadharia zaidi.Huwezi kushindana na Hamu.
 
Huo ni mtazamo wako, lakini wenzanko sidhani kama watakuelewa kuna watu bila dushe maisha hayasogei. Wengine wana genye mshindo kila saa analilia dushe limuingie.
 
Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu.

Nawashauri wanawake wenzangu tujiheshimu, tuwe na principle zetu. Usimuonee mtu huruma wala nini, hakuna jipya.

Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa.

Mwenyekiti wa CHAPUTA-kinamama.

tunza bikra tukafaidiwe mbinguni na alshababu.kwenye bikra zao 70

Sikukuu njema.
Acha kutupeperushia ndege wetu kama wew hutaki achaaaaaaaa alaaaaah!!!!
 
kuna faida gani kuzini mkuu? mtu ana mke wake,au hataki mahusiano na wewe ila anataka papuchi .si bora uache tu

kuna faida gani kumtetemekea mwanaume kwenye mahusiano hata hujui future yake,unatumika wee ,au unatembea na mume wa mtu unagegedwa kwa wizi .maisha gani hayo si bora ukae tu
Kwa kutumia comment hizi mbili nimeshaelewa kilicho mkumba mleta mada. Haki si bure eti. Wewe itakua umetendwa.

Kama siyo hivyo naanza kupata mashaka na umri wako Miss.
 
Back
Top Bottom