nini mantiki ya hii thread?
wanawake wasisome sana ili waonekane wazuri wa maumbo, sura na tabia.
Hakuna uzuri wa akili/ndani?
In real life ni wachache sana wanaothamini uzuri wa akili na tabia.
Watu wanavutiwa zaidi na visuals na ndo maana unaona kuna cosmetic surgeries, wonderbras, bootypads, lipstick, etc.
Ass, titties, hips, thick lips, fake hair, eyebrows, etc., ndo vinavutia machoni mwa watu.
Sapiosexuality just ain't that sexy.
Nimekwisha kama ndio hivyo.
Lakini, uzuri ni mjumuisho wa zote, za ndani na nje? Ina maana wanamme hufuata uzuri wa nje tu?
Kwenye hiyo list yupi utaomba namba?mimi labda kidoti..just maybeIdeally labda inatakiwa iwe hivyo lakini in actuality haiko hivyo kabisa.
Hivi unadhani kukiwa na hafla sehemu halafu kwenye waalikwa wakawemo Ngozi Okonjo-Iweala, Wema Sepetu, Kidoti, Linda Express, Missy Temeke, Anna Tibaijuka, Muke ya Muzungu, Pindi Chana, Juliana Shonza, Dina Marios, Isha Mashauzi, Khanifa Maulid, na Jokha Kassim......
Nani kati ya hao unadhani ata turn heads na kuombwa namba ya simu?