Siku ukiolewa ndio uje na huu ushauri saivi endelea kukaa kwa uncleNgoja nkampikie uncle wangu.
Sa kama umetuaga unaenda kumpikia uncle si inamaana unakaa kwa uncle na hajaoa, au mkewe nae alikuwa na gubu kakimbizwa?[emoji85][emoji85][emoji85] unajuaje kwamba sijawahi kuwa na ndoa mkuu?
Sawa mkuu ukufikia umri wa kuolewa nistue 😉😉😎😎Ni story ndefu ...tuibakishe kwa siku nyingine
Mbona mna maneno mengi wanawake! Hayo mahitaji ya familia kwani hadi mwanume tu,huu usawa mnao upigania upo wapi?, unakuta mwanamke umeajiriwa tena sehemu nzuri tu ila kila kitu unataka afanye mme kwenye familia,hela zenu hazionekani ,muwe na kazi au msiwe na kazi tofauti haipo.Wanaume wamekuwa wakilalamikia baadhi ya wanawake zao kwamba wana midomo na wamekuwa na gubu na ndio sababu kuu ya wengi kuendeleza michepuko. Sasa mimi kwa imani yangu ninaamini kwamba hiyo midomo, kauli chafu na gubu ni matokeo ya mwanaume kuanza tabia chafu, kutomjali mke na kumuoneshea dharau. Wanawake wanapolalamikia hali hizi ndipo wanapoonekana kwamba wana gubu na midomo.
Ana mahusiano na uncle wake huyu. Angalia nyuzi zake za nyuma.Siku ukiolewa ndio uje na huu ushauri saivi endelea kukaa kwa uncle
Tatizo lenu ni uchoyo tuu. Sasa wewe mwanaume gani rijari na ana hela anagegeda mwanamke mmoja?Wanaume wamekuwa wakilalamikia baadhi ya wanawake zao kwamba wana midomo na wamekuwa na gubu na ndio sababu kuu ya wengi kuendeleza michepuko. Sasa mimi kwa imani yangu ninaamini kwamba hiyo midomo, kauli chafu na gubu ni matokeo ya mwanaume kuanza tabia chafu, kutomjali mke na kumuoneshea dharau. Wanawake wanapolalamikia hali hizi ndipo wanapoonekana kwamba wana gubu na midomo.
Ukitaka stress ingia kwenye ndoa ukitegemea kuwa mke atakusaidia majukumu.Mbona mna maneno mengi wanawake! Hayo mahitaji ya familia kwani hadi mwanume tu,huu usawa mnao upigania upo wapi?, unakuta mwanamke umeajiriwa tena sehemu nzuri tu ila kila kitu unataka afanye mme kwenye familia,hela zenu hazionekani ,muwe na kazi au msiwe na kazi tofauti haipo.
Endeleeni kulalama tu,mm huwa siwaelewi tangu mkiwa eden, shida yenu haijawahi isha.
Naomba link moja yenye utataAna mahusiano na uncle wake huyu. Angalia nyuzi zake za nyuma.