Hakuna mwanamke fisadi?

Tangu vita dhidi ya Ufisadi ianze hapa Afrika mashariki, sijasikia mwanamke yeyote aliyetajwa kuwa FISADI.

Hii inanifanya nifikiri kuwa huenda wanawake ni watu waaminifu sana wakipewa uongozi wa juu katika nchi.

Labda wanawake ni waaminifu sana kutunza dhamana ya madaraka wanayokabidhiwa.

Au mnasemaje wanajamii?

Mama ana mkapa vipi!! au humjui?
 
kimsingi, wanawake hawana immunity ya ufisadi. Ila tukiangalia takwimu idadi yao ni ndogo, na mara nyingi wale wachache wanaojaribu zali huuma na kupulizia. Kuiba kunahitaji shule, ujanja na uzoefu otherwise unakamatwa, jamani siongei kutokana na uzoefu hahahahhah!
 
Nadhani issue hapa ni kwa probability kwa sababu wanawake ni wachache kwenye senior posts kunakuwa na chance ndogo kusikia habari zao za ufisadi. Mambo ya number of events na sample space hayo!( PCM guys i hope mnanipata).Nao pia ni mafisadi ufisadi has nothing to do with gender that's what i think. Mifano imeshatolewa ya kutosha kwa wanawake wachache ambao wameingia kwenye scams za ufisadi. Si mnakumbuka yule mama spika wa bunge Naijeria....jina lake limenitoka
 
Saaafi! hapa ngoma droo! wasafi na mafisadi wako katika jinsia zote. Kama hoja nikuanzisha mfuma jike katika nafasi za uongozi tutafute kigezo kingine.
 
Sisi tukila tunakuwa na woga fulani. Mpaka ukaona mwanamke kaiba ujue kuna mkono wa mwanamume. Tumeumbwa na huruma ya ajabu.
 
Mafisadi wa kike Tanzania wapo ingawa si kwa scale kubwa kama ilivyo kwa wanaume. Kwa Tanzania top on the list ni mama Anna Mkapa wa ANBEM na Bayport.

Kama hiyo haitoshi someni hii kutoka gazeti makini la East African BUSINESS WEEK.Nimenukuu kama ilivyo," As of last week, six senior officials of BoT had already been taken to court over EPA scandal. They are: Bosco Kimela, Sophia Joseph Lakila, Imani Mwakosya, Esther Komu, Amatus Liyumba and Deogratias Kweka. Reports have it that although the BoT Board of Directors has taken disciplinary action against the suspects, it is further being expected that a number of BoT officials would be suspended from work because of their involvement in other scandals in Tanzania.

Majina yenye wino mwekundu ni wanawake wanaotuhumiwa kwa ufisadi ndani ya BOT wakiongozwa na kinara wao Amatus Liumba.

Kwa hiyo siyo kweli kuwa hakuna wanawake mafisadi.
 
Lakini kutuhumiwa si kuthibitishwa mkuu,.
 
Mkuu huyo Sophia jina sahihi ni Sophia Joseph Lalika.
 
Maria Kejo......Mkurugenzi wa Mikataba ya ndani na Nje katika Wizara ya Sheria na Katiba
 
nasikia mama Lucy Kibaki ndo anayemlazimisha Mzee kubaki madarakani kwa gharama yoyote,hivyo ni kweli behind any fisadiman there is a woman!!hivyo kila fisadi tujaribu kuangalia yupo na mama gani ili tuwahukumu wote.
 
Last edited:

Bambo.
Hayo ni ya kweli?
 
Back
Top Bottom