Jana mida ya jioni kama kawaida nilitoka kuelekea hapo contena kwa mangi...... huwa tunahudumiwaga na dada yake mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi na toka aje shughuli zake zimekua ni kuhudumia baa mbalimbali na maarufu hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi walioko kwenye ndoa maana huwa anajua mambo mengi na anatusaidia kuondoa stresi kwa utani na masihara yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea kesto yangu baridi na yeye akavutakiti akakaa pembeni na kuanza kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani kwa wiki nzima.....Ila kuna kipengele kilinishtua sana.
Naomba nimnukuu hicho kipengele.... '' Unajua baba... sisi wanawake ni wadhaifu sana.....nina uakika katika wanawake 100 labda ni mmoja tu ndio atakua hajatoka nje ya ndoa'' mwisho wa kunukuu.
Baada ya kumbishia..akaanza kunipa data za uzoefu wake na wateja mbalimbali na hata wakeza watu wanaogongwa na vijana hapo mtaani....jasho lilinitoka sana... nikamkatiza isijeikawa na wangu yuko kwene list....nilinyanyuka na kumuaga, ila kwa kweli usiku nimelala natafakari aliyoniambia bado simuamini..ila mwenye kujua hili ebu nifungueni akili nini kinaendelea kwa wake zetu jamini.