Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,744
Reaction score
13,808
Umekutana na mwanaume amekutongoza ukakubali kisha mkaenda kwenye eneo la tukio mlipomaliza ukamuomba hela tayari hapo umeuza bidhaa yako.

Umetongozwa umekubali umeenda kwenye eneo la tukio kabla hujavuliwa chupi unauliza una shingapi tayari umeiuza hiyo bidhaa yako.
 
Hiyo hata sio kujiuza ni kawaida tu , nayo kutaka kuichapa bure bila kujiongeza ni tabia ya kishamba, ndio maana mpaka vishingo kama hawa wanatuchapia.
20260314_165214.jpg
 
Hujakutana na slay queens ww, anadonoa donoa anaacha hapo na umelipia samaki elfu 60😅

Na hapo baada ya muda kidogo atakwambia baby nasikia njaa. 😁

Ndio maana kuna namna ya kuishi na slay queens. Kusiwe na mambo mengi, aje ipige, mpe chake atembee.

Usitake muda nae mwingi. 😁
 
Na hapo baada ya muda kidogo atakwambia baby nasikia njaa. 😁
Ndio maana kuna namna ya kuishi na slay queens. Kusiwe na mambo mengi, aje ipige, mpe chake atembee.
Usitake muda nae mwingi. 😁
Ikifika saa nane anakwambia kuna sehemu kuna mishkaki ya nundu pale masaki, akila kwa pozi inaganda haitaki tena🤭 mara nipeleke nikanywe vsop😆🤸🏽‍♀️ Kwakweli kama uchumi wako ni wa kuunga unga bora ukomae na hawa elfu 10 sijui 50🤗
 
Back
Top Bottom