Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,269
- 74,026
Mkui movie na series zinakuharibuBurudani ya serial killer huwa ni kuona jinsi gani polisi Wana hangaika kumtafuta.
Kinachowaponza serial killer wengi Huwa ni kulewa sifa, hapo ndo uwa wanakamtwa