Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe

Doctor Sebas

Member
Jul 19, 2017
30
41
Hakuna Mtu Katika Dunia Hii Ambae Anafanana Na wewe
Hata Kama Mlizaliwa Mapacha Wa Kufanana Bado Wewe Utabaki Kuwa Wewe..Muda Mwingine Jifunze Kuheshimu Mawazo Yanayotoka Katika Moyo Wako Maana Hakuna Rafiki Mzuri Ulienae Akujuae Vzr Kama Nafsi Yako Mwenyewe
Wengi Watakuambia Hauwezi Lakini Nafsi Pekee itakuambia Jalibu Utaweza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom