Hakuna Mtia Nia ndani ya CCM aliyeshinda ndani ya CCM bila rushwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mwenezi wangu Humphrey Polepole Humphrey Polepole Nakukumbusha kuwa tarehe 13 nilitoa fact ifuatayo:

FACT:- ATAKAYESHINDA KURA ZA MAONI NI MWENYE FEDHA.

Na Thadei Ole Mushi.

Vijana wengi wa CCM wametia nia kwenye maeneo mbalimbali ya kugombea Ubunge. Ni Jambo zuri Sana Ila issue ya kushinda Ni Kudra za mwenyezi Mungu.

Twende sawa.

Wanaopiga Kura kwenye majimbo yetu ni Viongozi wa matawi yetu, Viongozi Hawa Wana Hali ngumu kimaisha kwa maana ya wengi wanatokea kwenye familia za kipato Cha chini, Mpiga Kura Kama huyu akipelekewa baiskeli kama zile Kigwangala alizotoa anachaje kumpigia Kura HK?

Majimbo yetu mengi Wapiga Kura wanaanzia wajumbe 300 Hadi 500 kwa mtu aliyehudumu kwenye Ubunge kwa miaka hata mitano tu akiamua kuhonga watu Mia tatu kwa kuwapa kila mtu shilingi 20,000 atatumia shilingi milioni sita tu, akiamua kuwapa 40,000 elfu atatumia shilingi milioni 12 tu.

Kijana ambaye Hana fedha anawezaje kupambana na jitu lenye mamilioni ya shilingi aliyovuna kwenye Ubunge na kwa Sasa Wana Kiinua Mgongo?

Kijana ambaye Hana fedha anawezaje kupambana na Mbunge mwenye network kubwa ya watu wenye fedha wanaoweza kumfadhili akashinda?

Narudia Tena hakuna mahali ambapo mpiga Kura toka kwenye matawi anaweza akaacha elfu 40,000 halafu aje asikilize blah blah zinazoitwa sera na mipango ya vijana Tena sera zenyewe unapewa dakika tatu kuzielezea. Wajumbe Hawa siwalaumu Ila maisha yao yanawalazimu kuchukua rushwa hata Kama Ni kidogo.

Ni vigumu Sana katika Hali Kama hii mtu ambaye hana financial Muscles kushinda. Any way kamati kuu imeahidi kuwakata wote ambao watatumia hila kushinda lakini watawakata wangapi?.

Tuna nafasi bado ya kurekebisha utaratibu wetu wa kupata Viongozi. Hili nimeliongea Sana Sana ipo siku tutafika huko.

Ole Mushi
0712702602
IMG_20200722_184513.jpg
 
Nimemsikia mtu anasema nimepokea hela ya mtu ni dhambi kula pesa yake nisimpigie kura. Naogopa laana ya dhuluma ya hela ya mtu. Nitampigia tu! Hivyo if you have money you are likely to win . Nilidhani mtu atachukua na kutompa kura, kumbe never!
 
takukuru kuna matukio yametokea hasa kwenye kipindi cha kura za maoni, lakini ukiwauliza wangapi wamepelekwa polisi achilia mbali mahakamani watakwambia hakuna, yaani hata baiskeli za HK?
 
Hili napinga wazi wazi CCM ndo chama pekee chenye demokrasia ya kweli ndani ya chama, sema huku nje ndo vile.....

Ila naamini hata ikatokea chama kingine kimechukua dola mambo yatakuwa hivi hivi huku nje, ila mpaka hapa CCM wana demokrasia pana sana ndani, kuhusu kutumia rushwa ipo kila chama wala usikatae ila kuna watu wamepita bila rushwa kabisa huku huku CCM
 
Sasa unadhani nini Mpango unafanyeke
 
Mwenezi wangu Humphrey Polepole Humphrey Polepole Nakukumbusha kuwa tarehe 13 nilitoa fact ifuatayo:

FACT:- ATAKAYESHINDA KURA ZA MAONI NI MWENYE FEDHA.

Na Thadei Ole Mushi.

Vijana wengi wa CCM wametia nia kwenye maeneo mbalimbali ya kugombea Ubunge. Ni Jambo zuri Sana Ila issue ya kushinda Ni Kudra za mwenyezi Mungu.

Twende sawa.

Wanaopiga Kura kwenye majimbo yetu ni Viongozi wa matawi yetu, Viongozi Hawa Wana Hali ngumu kimaisha kwa maana ya wengi wanatokea kwenye familia za kipato Cha chini, Mpiga Kura Kama huyu akipelekewa baiskeli kama zile Kigwangala alizotoa anachaje kumpigia Kura HK?

Majimbo yetu mengi Wapiga Kura wanaanzia wajumbe 300 Hadi 500 kwa mtu aliyehudumu kwenye Ubunge kwa miaka hata mitano tu akiamua kuhonga watu Mia tatu kwa kuwapa kila mtu shilingi 20,000 atatumia shilingi milioni sita tu, akiamua kuwapa 40,000 elfu atatumia shilingi milioni 12 tu.

Kijana ambaye Hana fedha anawezaje kupambana na jitu lenye mamilioni ya shilingi aliyovuna kwenye Ubunge na kwa Sasa Wana Kiinua Mgongo?

Kijana ambaye Hana fedha anawezaje kupambana na Mbunge mwenye network kubwa ya watu wenye fedha wanaoweza kumfadhili akashinda?

Narudia Tena hakuna mahali ambapo mpiga Kura toka kwenye matawi anaweza akaacha elfu 40,000 halafu aje asikilize blah blah zinazoitwa sera na mipango ya vijana Tena sera zenyewe unapewa dakika tatu kuzielezea. Wajumbe Hawa siwalaumu Ila maisha yao yanawalazimu kuchukua rushwa hata Kama Ni kidogo.

Ni vigumu Sana katika Hali Kama hii mtu ambaye hana financial Muscles kushinda. Any way kamati kuu imeahidi kuwakata wote ambao watatumia hila kushinda lakini watawakata wangapi?.

Tuna nafasi bado ya kurekebisha utaratibu wetu wa kupata Viongozi. Hili nimeliongea Sana Sana ipo siku tutafika huko.

Ole Mushi
0712702602
View attachment 1513986
Mkuu, kauli kali sana, kuna uthibitisho kweli kuwa ni wote?! Naomba uweke hadharani.
 
wapo wengi sana wameshinda bila rushwa usihukumu kila mtu kama vile upo CDM,

Ifike mahali tuweke ukomo wa miaka kwa ubunge kama ilivyo kwenye utumishi wa umma.
 
Sidhani kama hawajui/haijulikani hivyo, ndio maana wengi wanaomaliza muda wanapita kilaini kwa sababu mifukoni wapo vizuri.

Nakumbuka nilisoma humu moja ya uzi ambapo Mdau alikuwa akilalamika kuwa mmoja wa Wagombea kapewa namba za simu na Majina ya kila Mjumbe ili hali Wagombea Wenzake wamenyimwa...sidhani kama inahitaji hata elimu ya nassery school kujua nini kitaendelea.
 
Huyu naona ni fundi makenika analishughulikia gari naona lina matatizo

Back
Top Bottom