Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

Kwa watu kama mimi ambao tunaopenda tukio lililotokea ndio tutazame movie yake lazima nizikubali Saving Private Ryan, 1917, Dunkirk, Hacksaw Ridge, We were Soldiers, The Bridge too Fall, Greyhound na movies kama hizo.

Napenda historia hasa za kivita na huwa nazisoma. Hizo movie unakuta kabla sijaitazama nimesoma matukio yake kiuhalisia hivo nakuwa kwenye ulimwengu halisi.

Kuna utamu wa kutazama movie inataja terms kama mole, double agent, war ration, mayday, D day au majina kama Omaha beach, Spitfire, Heinrich Himmler, Goebbels, Mushashu. Yani ukijua kitu afu ukatazama movie yake ni raha sana. Achana na hawa kina Vin Diesel na makontena ya pesa.
 
Umesahau Charlie,Bravo, Alpha mkuu
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo

Lone survivor by Mark welhberg
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo

Hii movie ni true story kwa yaliyotokea Omaha beach WWII 1944 . Movie moja kali sana yenye uhalisia wa hali ya juu. Na haina story wala mipango mipango mingi yenyewe imejaa mashambulizi ya kushtukiza mwanzo mwisho . Hii ndo movie yangu ya kwanza upande wa war .
 
Band of Brothers....
Band%20of%20brothers.jpg
 
Nenda kaangalie LONE SURVIVOR, alafu urudi tujadiliane upya baada ya kubadilisha title ya post yako.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Hii mdio yenyewe. Hiyo ya private R ni stor tu ndio inaifanya iwe nzuri hasa dogo alivyo amua kujitolea kuchota miili ya wanajeshi waliokufa ila lone survivor ni habari nyingine. Uhalisia wa kitosha kabisa
 
Aisee binafsi London has Fallen katika ile Sequel ndio naonaga moto mwingine haaf Of course inafuata Olympus has Fallen, ile latest ya Angel has Fallen sijaielewa kivile + nahis hii thread hakuna younglings au
Hizo zote zinakomeshwa na whitehouse down.
 
Hii ni mwisho wa matatizo, kwanza mwanzo tu wa movie kama una roho nyepesi huwezi kuendelea kutazama. Watu walichakazwa na risasi yaani sio poa.

Hivi kuna movie ya kivita kali zaidi ya hii? Nitajie kama ipo
we are soldier

Hacksaw ledge

unazijua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom