madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
kipara nyimbo mbaya haimbiwi mtoto hayo unayoyataka yatafika
Serikali inaongozwa kwa kufuata sheria na Katiba. Isitoshe kuna sheria za kimataifa na mikataba ambayo serikali imeridhia.Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Sumu itamwagwa kote kwenye mashimo mtatoka hata kama mlijificha analeta ngonjera muda mrefu mlikuwa mkiangaliwa tu pamoja na huyo kibaraka mshenga wa mabepariSerikali inaongozwa kwa kufuata sheria na Katiba. Isitoshe kuna sheria za kimataifa na mikataba ambayo serikali imeridhia.
Ndio maana serikali huwa inashitakiwa na imeshashindwa mara nyingi tu.
Hii issue ya bombardier serikali inatakiwa tu ilipe deni la watu yaishe. Mambo ya kusingizia wanasiasa na upuuzi mwingine ni kupoteza muda.
Na wewe mjinga uliyeleta huu Uzi, ujue nchi inadaiwa tena kwa riba.
Sent using Jamii Forums mobile app