gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
ndio maana jamaa alituambia ,Elimu,Elimu,Elimu mara tatu
mtaungana kama mnasikilizana cha ajabu hapa nawashangaa wa chama flani wakitoa maoni wanaonekana wanaipinga serkali. mawazo yao yaheshimiwe, lisu ni msaada mkubwa sana wa sheria tulikubali na tukubali kuyatumia mawazo yakeTangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Sasa kama ana chuki na mkulu ww inakuuma nini? Ww ni mke wa mkulu? Acha bangi mbichi, jenga hoja kutetea uzembe wa serekali sio kutuonyesha eti serekali ina mkono mrefu na mkono wenyewe sio wa kulipa madeni bali ni wa kuua raia wanaoipa ukweli wake.

Dada yake lissu punguza jazba kama una njaa ni yako serikali haina shamba na kama umetiwa mimba huwezi rudi shule hasira zako hazizimi jua wala hazileti mwanga!Umekuja na moto mara sijui amuue sijui upuuzi gani ukidhani utaungwa mkono na uzalendo uchwara. Hapa utapoa tu na hiyo mihemko ya kipuuzi. Watu tuna maisha magumu halafu ww umenunuliwa simu ya tecno na kujaziwa bundlle ndio unadhani wote tutasupport ujinga wako. Hao wanaokutuma hapa hata kukaa na familia yako unashindwa wanatembelea maVX, wanapata huduma zote bure kama maji, umeme, watoto wao wanasoma inter. School, wakwako wanasoma za kata na kushindia chai ya rangi na andazi wanakuvika uzalendo wa kukuchora.
Acha upuuzi dogo, serekali itekeleze wajibu wake bila visingizio vya mitaani kwani hakuna anayefanya kazi kwa kujitolea bali wanalipwa mishahara mikubwa tena isiyolingana na hali za hao wanaoitwa wanyonge.
Ni nani ameleta lugha mbaya kama hii. Raisi wetu hayuko hivyo. Acha roho mbaya ya kishetani unataka kutuingiza katika upotovu wa amani. Watu wa aina yako ni hatari katika nchi yoyote.
Mungu na ushindwe kabisa.
Hii ipo duniani kote, upende usipende, utake usitake, hamna aliyemkubwa zaidi ya serikali, tutakuja kupiga kelele kwenye mitandao siku mbili, maisha yanaendelea! Mifano halisi najua unayo!!! Hizi Tz sio siasa saaa, ni uhujumu uchumi!!!!
Dada yake lissu punguza jazba kama una njaa ni yako serikali haina shamba na kama umetiwa mimba huwezi rudi shule hasira zako hazizimi jua wala hazileti mwanga!
Kila atakaeleta fyoko atatulizwa kwa mujibu wa sheria!
Ni Akili za Kipunga hizi! Nikwaambie tu:Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Lissu ameisaidia Sana nchi, Hii Serikali ingekuwa na watu wenye Akili ingekuwa inamsikiliza, Yale yanayowafaa wayachukue, yasiyowafaa waachane nayo! But since inaongozwa na wanaojiaminisha wao ndo wao, hakuna mwenye akili zaidi yao, they don't do mistakes, untouchables, infallible, whatever super name you can call them, they won't! Na wataendelea Sana kuangukia pua na kuwasingizia kina Lissu!Hili swala la lisu kujifanya kuwa ndiye jiniaz wa Taifa litatugharimu. Maana kila kitu anajua yeye.
Kaka una roho ngumu!!??Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Kijamaa kinauzi sana aisehTangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Mimi sidhani kama watu wengine hapa jf ni watanzania halisi. Kama huyu kipara. Nadhani ni wale wachochezi wanaotaka nchi zetu ziende kwenye vurugu.
Kila moja wetu awatambue "hawa wanaotaka serikali iwe juu ya wananchi na itumie nguvu"
Hawa ni maadui wakubwa wa nchi hii. Tuwatambue kwa majina na serikali iwachulie hatua za kisheria kwa kuitaka serikali iwe ovu. AMEN!
Lile Bomba litaingizia kipato kwa wanaccm pekee.Kuzindua bomba la mafuta.mmekwenda na manguo yenu ya chama,kama maendeleo ya ccm peke yenu.ila kwenye madeni WATANZANIA tuungane.
Sent using Jamii Forums mobile app