Hakuna mkubwa zaidi ya serikali

Hakuna mkubwa zaidi ya serikali

Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu

Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!

Wewe ndio mkuu wa nchi
Huu muandiko kama Bashite, zero brain kabisa wewe

Uhuru atosha
 
Tatizo lenu mnaomshangilia huyu mtu ni uwezo mdogo wa kufikiria, kukosa busara na ushamba.

Kama mnataka kuongoza nchi ki-North Korea anzeni kufuta siasa za vyama vingi.

Kuna watu mnapenda kuimba tu "Ndiyo Mzee" nje ya hapo hamna mnachojua.

Akili zenu mmempa mtu mmoja. Mtu mwenyewe na yeye uwezo wake mdogo.
Kama mnataka kukwamisha maendeleo kimtindo aliotumia vuvuzela dawa yake ni hiyo tu hakuna kubembeleza
 
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu

Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!

Wewe ndio mkuu wa nchi
Hii nchi ya kwatu sote kila mtu anayohaki ya kukemea maovu serekali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnataka kukwamisha maendeleo kimtindo aliotumia vuvuzela dawa yake ni hiyo tu hakuna kubembeleza

Acheni maneno basi. Mwambie JPM afute hivyi vyama haraka sana. Hamna haja ya maneno maneno.

Mtakapoanza kufa kama nzi akili zitawakaa sawa.
 
Yule anaetafuta siri za serikali na kuzituma huko kwa mabeberu na kila anamsapoti tunajua sio watanzania wanapaswa kushughulikiwa
Sio kila siri ya serikali ina sifa ya kua sirini.
Siri za Serikali zinazotakiwa kua sirini ni zile zinazotoa faida kwa nchi lkn zinazoleta hasara hazina sifa ya kua siri za serikali.Inatakiwa zivujishwe ili mijadala kama hii itokee ili watendaji wa serikali wajifunze ili makosa yasirudiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM akubaliane na matokeo ya kukurupuka kwake. Msianze kuleta vujisababu kuwalaumu watu wengine, amevurunda na haya ndio matokeo yake full stop
 
Marekani yenyewe ina madeni what's a big deal Tanzania kudaiwa
 
Acheni maneno basi. Mwambie JPM afute hivyi vyama haraka sana. Hamna haja ya maneno maneno.

Mtakapoanza kufa kama nzi akili zitawakaa sawa.
Huko kulikosheheni vyama vyenye maana uchaguzi ukiisha watu wanaungana wanajenga nchi na si kutafuta nani anaidai nchi yake ili tu utuonyeshe ujinga wako kwa kujifanya unapambana,
 
Sio kila siri ya serikali ina sifa ya kua sirini.
Siri za Serikali zinazotakiwa kua sirini ni zile zinazotoa faida kwa nchi lkn zinazoleta hasara hazina sifa ya kua siri za serikali.Inatakiwa zivujishwe ili mijadala kama hii itokee ili watendaji wa serikali wajifunze ili makosa yasirudiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri wakati serikali ikijifunza na hawa wengine nao wafunzwe ili wasije tokea ndumilakuwili wengine
 
Huko kulikosheheni vyama vyenye maana uchaguzi ukiisha watu wanaungana wanajenga nchi na si kutafuta nani anaidai nchi yake ili tu utuonyeshe ujinga wako kwa kujifanya unapambana,

Huko unapopaongelea uchaguzi ukiisha raia wana haki zao zote za msingi kama kufanya maandamano, kumkosoa Rais, n.k. Huko unapopaongelea uchaguzi ukiisha Rais anasimamia katiba bila kujifanya yeye Mungu mtu.

Huko unapopaongelea nchi zinalipa madeni yake kwa wakati na si huku mpaka ndege ikamatwe.

Hili deni limesababishwa na maamuzi uchwara ya nani kama si huyo unayemtetea?
 
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu

Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!

Wewe ndio mkuu wa nchi
Akili za kitumwa hizo aliyesababisha deni alinyimwa mlungula10% akafukuza mkandarasi.
 
Huko unapopaongelea uchaguzi ukiisha raia wana haki zao zote za msingi kama kufanya maandamano, kumkosoa Rais, n.k. Huko unapopaongelea uchaguzi ukiisha Rais anasimamia katiba bila kujifanya yeye Mungu mtu.

Huko unapopaongelea nchi zinalipa madeni yake kwa wakati na si huku mpaka ndege ikamatwe.

Hili deni limesababishwa na maamuzi uchwara ya nani kama si huyo unayemtetea?
Huyo kinara wa kuhujumu maendeleo anachuki na mkulu nyie anawatia kwenye mnyororo kama anapigania nchi
 
Lazima asafishe visiki na vizingiti na wanaoshirikiana na mabeberu

Mihemko ya kishamba haitakutoa dogo. Mikataba yote ya kushirikiana na mabeberu anayo yeye, na inaitwa ni ya siri. Aiweke hadharani tuione waliosaini na hao mabeberu, tukikuta jina lako au la babaako uandae K.Y jelly kabisa kwa usalama wa marinda yako maana ukuta lazima tukushikishe.
 
Ok nawe upo na matangazo ya biashara yako
 
Huyo kinara wa kuhujumu maendeleo anachuki na mkulu nyie anawatia kwenye mnyororo kama anapigania nchi

Sasa kama ana chuki na mkulu ww inakuuma nini? Ww ni mke wa mkulu? Acha bangi mbichi, jenga hoja kutetea uzembe wa serekali sio kutuonyesha eti serekali ina mkono mrefu na mkono wenyewe sio wa kulipa madeni bali ni wa kuua raia wanaoipa ukweli wake.
 
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu

Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!

Wewe ndio mkuu wa nchi
We kweli kipara kipya, ndio maana wahenga walisema akili ni nywele kila mtu ana zake sasa kwa kipara kipya sijui kama kuna nywele zimebakia
 
Ok nawe upo na matangazo ya biashara yako

Umekuja na moto mara sijui amuue sijui upuuzi gani ukidhani utaungwa mkono na uzalendo uchwara. Hapa utapoa tu na hiyo mihemko ya kipuuzi. Watu tuna maisha magumu halafu ww umenunuliwa simu ya tecno na kujaziwa bundlle ndio unadhani wote tutasupport ujinga wako. Hao wanaokutuma hapa hata kukaa na familia yako unashindwa wanatembelea maVX, wanapata huduma zote bure kama maji, umeme, watoto wao wanasoma inter. School, wakwako wanasoma za kata na kushindia chai ya rangi na andazi wanakuvika uzalendo wa kukuchora.

Acha upuuzi dogo, serekali itekeleze wajibu wake bila visingizio vya mitaani kwani hakuna anayefanya kazi kwa kujitolea bali wanalipwa mishahara mikubwa tena isiyolingana na hali za hao wanaoitwa wanyonge.
 
Back
Top Bottom