Hakuna mkubwa zaidi ya serikali

Hakuna mkubwa zaidi ya serikali

Serikali inawekwa na wananchi na inandolewa na wananchi. Hakuna serikali bila wananchi lakini kuna wananchi bila serikali.
Siku wakiamua kumtoa pale magogoni, saa mbili asubui anarudiswa kwao Chattle.
 
Hivi ndugu yangu MR Lissu! Wanasheria wooote wamekaa kimya kwa kujiandaa namna ya kumshauri baba mwenye nyumba, wanatumia busara au wana kasoro? Nenda taratibu kama wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipara kipya nakuunga mkono kwa kila jibu lako , wasije kwa mgongo wa vyama vingi, hawa ni wahujumu uchumi tu wakishirikiana na mabepari, Magu wamalize tu..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu

Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!

Wewe ndio mkuu wa nchi
Tumia hii rulling nyumbani kwako kwanza, kama ikifanya kazi ndiyo uje umshauri Rais.
 
Kwa nini Watu wapotezwe? Mnataka kuleta machafuko au? Mshindwe kabisa! Huyu Kpara ngoto atakuwa na vinasaba vya kumfanania bwana mmoja akiitwa Seth Benjamin
 
Dogo weka hilo shimo la tope hapo nyuma chini, linda marinda yako. Kama unaweza jenga hoja na sio vitisho kwa wanaume. Achia wenye ubavu wahakikishe serekali inatekeleza wajibu wake. Kama ukiendaga kwa viongozi unachotewa vyakula vilivyobaki, hakikisha unawapa hilo jicho vizuri huku ukikatika kisawasawa na sio kutuletea upuuzi hapa jukwaani.
sawa maandazi
 
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu

Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!

Wewe ndio mkuu wa nchi

Ni kweli hakuna mkubwa zaidi ya serikali, Vile vile hakuna aliye juu ya DENI.

Na dawa ya deni ni kulipa. Hakuna namna
 
Dogo weka hilo shimo la tope hapo nyuma chini, linda marinda yako. Kama unaweza jenga hoja na sio vitisho kwa wanaume. Achia wenye ubavu wahakikishe serekali inatekeleza wajibu wake. Kama ukiendaga kwa viongozi unachotewa vyakula vilivyobaki, hakikisha unawapa hilo jicho vizuri huku ukikatika kisawasawa na sio kutuletea upuuzi hapa jukwaani.
sawa maandazi vitafunwa vya chai
 
Kaka una roho ngumu!!??
Usijekuwa kama jamaa mmoja yeye alikuwa tayari hata kutoa matako yake ili mradi tu mgombea aliyemtaka apite.

Wewe sasa unaelekea kumzidi kwa mahaba hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
mmelambishwa dawa kumbe mlikuwa mnataka kutoa vitu subirini kilichomtoa kanga manyoa na huyo vuvuzela labda ahame nchi
 
Back
Top Bottom