Hakuna mkopo kwa diploma holders kwenda degree

Hakuna mkopo kwa diploma holders kwenda degree

Status
Not open for further replies.
Ila mkuu navyosikia kua TCU kua Wana update kitabu Chao kila mwaka sasa wewe umeapply vipi na kitabu kipya hakijatoka nauliza tu
Via NACTE na wamefunga jana..
guidbook yao ipo ya 2016/2017
 
Naunga mkono hoja...

Kwa miaka ya karibuni vyuo vimepoteza sifa kwa kudahili wanafunzi wasiostahili kudahiliwa kwa ngazi ya degree... Leo imekuwa kawaida mwanafunzi Mwenye ufaulu Wa division 3 anenda kuchukua degree matokeo yake ni kuzalisha kundi la vijana wasiokuwa na uwezo Wa kureason na kuongea logic.. Kwa ambao wamepita vyuon miaka ya hivi karibuni ninaamin watakuwa wameliona hili .. Haiwezekan tuwe taifa la kuzalisha Quantity ya wasomi badala ya Quality ya wasomi... Njia pekee ya kupata wanafunzi Wa vyuo wenye quality ni kuhakikisha tunakuwa na mechanism filter ya kuchuja waliofeli na kupata cream safi ya wanafunzi ili wakasome degree.. Div 1& 2 ndio wawe wanafunzi Watakaochukuliwa kusoma degree...

Kuhusu suala la mkopo naunga hoja mkono..... Kwa kipindi kirefu wanafunzi wanaojiunga na masomo ya degree kwa sifa za diploma wamekuwa wakinunyimwa mikopo kwa sababu zisizo na maana... Ila kwa punguzo la ada kwa 35% itasaidia saaaaana
Akili yako ni ndogo sana ivi unadhani mtu alie anza kujifunza field since ngazi ya certificate utamfananisha na wa six then chuo direct Hebu pitisha jicho faculty of engineering uone watendaji bora ni wapi kama si hawa waliopitia diploma mtu anachukua degree first year hajui lolote juu ya field yake bado unamuona ndio wa maana?
 
Kwani sifa za kusoma degree ni division au principal za advance? Mwenye dvsn 3. 13, 14, 15 ana principal 2 zinazomruhusu kusoma university
 
Labda kama watapunguza vyuo vilivyopo nchini, alafu elimu ya chuo ni level nyingine ambayo haiangalii ulitoka na nini advance, ndio maana wapo wanaoingia na dvsn 3 mwisho wa siku wanatoka na GPA kali kuzidi hao waliokuja na one
 
Akili yako ni ndogo sana ivi unadhani mtu alie anza kujifunza field since ngazi ya certificate utamfananisha na wa six then chuo direct Hebu pitisha jicho faculty of engineering uone watendaji bora ni wapi kama si hawa waliopitia diploma mtu anachukua degree first year hajui lolote juu ya field yake bado unamuona ndio wa maana?
Hahaha nadhan unawazungumzia engineers wanaojenga barabara kama kachube road siku mbili zimeharibika....
 
Habari kwa wahitimu wote wa kidato cha sita na wahitimu wote wa stashahada mwaka 2016.

Ni dhahiri kumefanyika mabadiliko makubwa Katika bodi ya usajili vyuo vikuu hii imehusisha mabadiliko ya viongozi wa bodi pamoja na baadhi ya miongozo ya usimamizi.kwa wahitimu wa kidato cha sita,wanafunzi watakao pata daraja la kwanza na la pili yaan division one na division two ndio watakosajiriwa kwa elimu ya shahada yaan degree na kwa wale watakaomaliza diploma ni wale watakaopata hazini ya ufaulu Kuanzia 3.3 na kuendelea yaani GPA ya 3.3.

Kwa wahitimu wa kidato cha sita watakaopata daraja la tatu yaani division 3 watasoma stashahada adhiri yaani special diploma hii itachukua na wahitimu wa stashahada ambao hawakukidhi viwango. Ieleweke wazi hakutakua na usajili wa wahitimu watakao pata daraja la nne na wale watakaopata GPA chini ya 3.3 kwa wahitimu wa stashahada pia hakutakua na mkopo wa wanafunzi wa stashahada adhiri kama ilivyokua awali,Bali patakuwa na punguzo la ada la asilimia 35 kutokana na ufinyu wa bajeti mwaka 2016/2017
 
Habari kwa wahitimu wote wa kidato cha sita na wahitimu wote wa stashahada mwaka 2016. Ni dhahiri kumefanyika mabadiliko makubwa Katika bodi ya usajili vyuo vikuu hii imehusisha mabadiliko ya viongozi wa bodi pamoja na baadhi ya miongozo ya usimamizi.<br /><br />Kwa wahitimu wa kidato cha sita,wanafunzi watakao pata daraja la kwanza na la pili yaan division one na division two ndio watakosajiriwa kwa elimu ya shahada yaan degree na kwa wale watakaomaliza diploma ni wale watakaopata hazini ya ufaulu Kuanzia 3.3 na kuendelea yaani GPA ya 3.3.kwa wahitimu wa kidato cha sita watakaopata daraja la tatu yaani division 3 watasoma stashahada adhiri yaani special diploma hii itachukua na wahitimu wa stashahada ambao hawakukidhi viwango. <br /><br />Ieleweke wazi hakutakua na usajili wa wahitimu watakao pata daraja la nne na wale watakaopata GPA chini ya 3.3 kwa wahitimu wa stashahada pia hakutakua na mkopo wa wanafunzi wa stashahada adhiri kama ilivyokua awali,Bali patakuwa na punguzo la ada la asilimia 35 kutokana na ufinyu wa bajeti mwaka 2016/2017.imesainiwa na kupita
 
hii habar imesambaa kwa kasi af cha ajabu haina source kila unayemuuliza atakwambia nimetumiwa au naskia.
 
Moods waunganishe hii mada ile na ile ya "diploma holders kukosa mkopo"contents ni zile zile.
 
Dahhh hii Nchi ina maajabu sana, yani pamoja na kuambiwa TRA wamevunja record kwa kukusanya mapato ila eti hakuna hela na kupelekea ufinyu wa bajeti, wakati wa JK wameponda ukusanyaji wa mapato ila wanafunzi hawakunyanyaswa hivi. Wacha tusubili hadi maandishi yaanze kupanda juu, kuashilia movie imekwisha
 
Someni achrni mambo mengi bana. Ikiwafikia puani mkae chini, sasa hv angalia mbele wew
 
Tatizo habari zimekua nyingi kila anaejiskia kuandika anaandika tu au akiona sehemu ana copy how come usimpe diploma holder mkopo ni asilimia chache Sana ndio wafanyakazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom