comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #21
Wewe ushahidi wako ni upi?Huo sio ushahidi - ni tafsiri yako ya pepo
Wewe ushahidi wako ni upi?Huo sio ushahidi - ni tafsiri yako ya pepo
Una uhakika Gani nimehamia, Mimi sijasema hakuna MunguUmehamia CCM umegundua hakuna mungu!
Una uhakika Gani nmehamiaCcm ni jehanum ndogo, tangu uamie huko hujaiona pepo yako?
Kumbe ule uzi ulianzisha ndotoni na kututukana sana sisi ni nyumbu!Una uhakika Gani nmehamia
Usilolijua ni kama usiku wa gizaKumbe ule uzi ulianzisha ndotoni na kututukana sana sisi ni nyumbu!
Ilikuwa ni sarcasmUsilolijua ni kama usiku wa giza