Hakuna Matata Beach Lodge - ZNZ

Week end utakayotia timu mie ndo ntakuwa waiter, mpishi na room service officer wa siku hiyo.

Hahaaaa na ntakutomba hadi ushindwe kusema tamuu na kubaki kusema Ngabuu Ngabuu......🙁😛
 
Hoteli hii inamilikiwa na Mjerumani. Ipo KM 15 kazkazini mwa Stone Town, Zanzibar (nusu saa kwa taxi kutoka feri). Villa inaanza US$80 / TShs 175,000 kwa siku.











Napafahamu hapo ni pa kawaida sana.....IPO maeneo ya Bububu
 
Kuanzia leo naacha starehe za hovyohovyo nasave kwa ajili ya safari moja au mbili kwa mwaka kwenda kula maisha wiki moja kwenye hoteli kama hizi..
 
Dah!! Umasikini mbaya sana....sehemu kama hizi ndio za kwenda kupoteza mawazo na kupooza nafsi.....

Badala yake tunaishia kuogolea kwenye fukwe za coco beach....unaogelea huku kichwa kiko juu kama jogoo....ukirinda nguo...zako maana unaweza ukarudi nyumbani na kibukta ulichokuwa umevaa wakati unaogelea........


Mungu nijaalie kipato cha kuweza kumudu kufika mahali hapo kujumuika na binaadamu wenzangu.....

Amen.....
 
Bei na sehemu yenyewe ni fair,ukiwa na mil 1 unapumzika siku 3 vizuri kabisa
 
Dah ingekuwa Enzi zile mbona ningevamia tu hicho kiwanja ila kwa usawa huu wa sasa ngoja tu niwe mpole.
 

Ndo maisha mkuu, wakati wewe unaandika hivi, kuna mdau juu kasema it is very affordable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…