Hakuna mashabiki wanafiki kama Simba FC

Hakuna mashabiki wanafiki kama Simba FC

Kujibuzana na mtu kama wewe ni kujishushia heshima
Yes mimi sio msukule kama wewe
Na wala sina tabia ya kulia lia kwenye harusi za wanaume kama wewe na timu yako nzima ya utopolo
Kenge wewe
1000337417.jpg
 
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri Salim Mwalimu kutoka Wydad aje huku alipo Mzize, hii ina maana Mwalimu hana future au mapenzi yao kwa Mzize ni mkubwa sana?
Imemsajili au anakuja kwa mkopo
 
Kwanza hela ya tofali umesharudishiwa ile aliyochangiwa CCM
 
Kuna utofauti wa kimuktadha kati yya Mzize na Seleman Mwalimu.

Mzize ilikuwa ni sakata la ndoto binafsi dhidi ya vizingiti vya kiuongozi. Mzize alitamani kujiendeleza kimataifa, akilenga klabu yenye ushindani mkubwa kama Esperense de Tunis.

Mashabiki tulimtetea kwa misingi ya haki. Tuliona Club yake ya Yanga ikiuzuia uhamisho kwasababu zisizo za kiufundi, ikikataa ofa bora na kuhimiza aende Club dhaifu kwa maslahi ya udalali.

Selemani Mwalimu ni usajili usiokuwa na kipengele wala migogoro
Hakuna sakata la mgongano wa kimaslahi, Wydad haikugomea uhamisho wake na wala hakuna dalili ya udalali au mgongano wa kimaslahi.
Mbona hukumtetea Aishi Manula pale Simba walipogoma kumuuza, kumtoa Kwa mkopo ili akalinde kipaji chake.
Badala yake wakamfukuza kambini akawa yupo tu mtaani anauzwa nguo tu Sinza dukani kwake
Kuna roho mbaya kama hiyo?
Mzize yupo Yanga ana mkataba na Yanga wanahitaji dollar 1m na timu ikifika atauzwa
 
Hakukuwa na ofa "iliyojipenyeza" kwa Manula
 
Kuna utofauti wa kimuktadha kati yya Mzize na Seleman Mwalimu.

Mzize ilikuwa ni sakata la ndoto binafsi dhidi ya vizingiti vya kiuongozi. Mzize alitamani kujiendeleza kimataifa, akilenga klabu yenye ushindani mkubwa kama Esperense de Tunis.

Mashabiki tulimtetea kwa misingi ya haki. Tuliona Club yake ya Yanga ikiuzuia uhamisho kwasababu zisizo za kiufundi, ikikataa ofa bora na kuhimiza aende Club dhaifu kwa maslahi ya udalali.

Selemani Mwalimu ni usajili usiokuwa na kipengele wala migogoro
Hakuna sakata la mgongano wa kimaslahi, Wydad haikugomea uhamisho wake na wala hakuna dalili ya udalali au mgongano wa kimaslahi.
Msimu uliopita kibu alipata timu,akaomba muuze,vipi mlimuuza?
 
Aloo kolo timu kubwa sana inatoa wachezaji toka timu kubwakubwa tu, ama kweli wazee wa rank huuziana wachezaji tokana na rank zao.
Mara Mamelod, mara Wydad noma s
 
Azam, USMA, APR, Kmc, walimhitaji mbumbumbu wakagoma, wakasema atulie mkataba uishe ndo ataondoka
Hazikuwa taarifa za kweli

Hakuna timu ingekuwa tayari ku take risk kusajili mchezaji ambaye msimu mzima kacheza mechi moja ya kirafiki tu.

Hata Azam walipokuja kumsajili walikiri kuwa ni hitaji la kocha. Kama tu Ibenge aliyejiunga juzi na Azam ndio aliyemuhitaji unaweza kuona jinsi gani kulikuwa na upotoshaji kwenye ishu yake.
 
Manula alikuwa fit, viongozi hapo umbumbumbuni wakaamua kumkoa na kumfanya kipa chaguo la 5, Kwa class na profile ya Manula ilikuwa roho mbaya mno, lakini mbumbumbu hilo hawakulijali Sasa wao wanajifanya watetezi wa Mzize ambaye akiwafunga goli la maana

Clubs zilikuja na wakala wake Jemedari alithibitisha Kwa Simba wanagoma, Nia wamkoe Manula hadi mkataba uishe

Manula alitumikia mkataba akiwa hachezi na yupo fit
 
Hizi unazoandika wewe ni hearsay na sijui umezipatia wapi I guess ni kwa Hans au Ambokile ambao wamekuwa wakiwalisha habari potoshi ila kwakua zina mlengo wa kuichafua Simba mnajikuta mnaziamini.

Jemedar alithibitisha scenario ya Manula kuachwa katika safari ya mechi ya kimataifa kwa kile kilichokuwa kinasemwa kuwa anaumwa.
 
Jemedari alisema Simba wameamua kumkomoa mchezaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom