ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri Salim Mwalimu kutoka Wydad aje huku alipo Mzize, hii ina maana Mwalimu hana future au mapenzi yao kwa Mzize ni mkubwa sana?