Hakuna Mapenzi ya Kudumu ila yapo mahusiano ya kudumu

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Mapenzi huja na kundoka, na huishwa na vitu na matukio mbalimbali, ila mahusiano ni kujitoa kunakoweza kusababishwa na kutegemeana ku
icuhumi, kihadhi, kisiasa, kiutamaduni, kiimani au kwa lolote lile. Mapenzi bila mahusiano imara huleta matarajio makubwa yasiyoweza kufikiwa na husababisha wale wanaotaka wawe waili wapate shida ya kuelewana kwa kuwa mapenzi huenda sambamba na hisia na hisia hutokana na mambo mbalimbali na huwa hazidumu.
 
Mapenzi yapo pasatile in nature, upanda na kushuka kila siku kutegemeana na nyie wenyewe mmejiweka katika kundi gani?
Kwa wale wanaojua vionjo vya mapenzi, mapenzi yao uwa pasatile inayoongezeka kila siku.
 
Smart man + Smart Woman = Romance

Smart Man + Dumb Woman = Pregnancy

Dumb Man + Smart Woman = Affair

Dumb Man + Dumb Woman = Marriage
 
Smart man + Smart Woman = Romance

Smart Man + Dumb Woman = Pregnancy

Dumb Man + Smart Woman = Affair

Dumb Man + Dumb Woman = Marriage

weweeeeee hebu acha hizi theory zako bana!kama we kwenye ndoa yenu mmumeoana dumb man na dumb woman sio wote i see!
 
I can see a point here.....

umeona enh!
asitake kutuaminisha hapa kuwa watu wote waliioana ni dumbs
watu tuna raha zetu full kufurahia ndoa na kuwa mfano kwa wengine kwenye ndoa zetu
chezea uboyfriend na ugirl friend miaka 8,uchumba miaka 2,ndoa miaka 7 ah wacha kabisa!
mi sijawahi kujutia ndoa yangu bana na ntapigana mpka kesho kuamini kuolewa na kuoa ni kupoteza i see!
haijalishi ndoa inapita kwenye wakati gani mgumu bado napaswa kunyanyuka kujifuta vumbi kutizama furaha yangu ilipo and buuum!here it comes!
 
Back
Top Bottom