Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,928
- 4,917
Wanawake wa sampuli hio wa nini sasa
Kwahiyo vijijini ambako ndo kasumba hii ipo hakuna wanawake?
Hao unaohangaikia huko mjini subiri wakifa ndo utajua walitokea wapi!
Wanawake wa sampuli hio wa nini sasa
Nimeishia tu pale umechill 'getho' na familia yako...!
Hakuna familia timamu inaishi getho.
Mbona unanitisha mkuuKimbia wewe kuna kitu anakuficha