hakuna maombolezo wala bendera kupepea nusu mlingoti

Ochu

JF-Expert Member
May 13, 2008
975
47
Katika kuonyesha kutojali yaliyotokea Gongo la Mboto serikali imeshindwa kutangaza hata siku moja ya mambolezo na wahusika hawataki kujiuzulu!
 
Pengine wanangojea Kamati ya Usalama imalize vikao vyake ndiyo ipendekeze labda kwamba hili ni janga la kitaifa.
 
Maombolezo ya nini????????? Hii ni sehemu ya taifa kutolewa kafara-damu hizo ni kwa ajili ya utawala kujiimarisha; ili majini ya sheikh na wale wachawi wa nigeria na wa bwagamoyo wasiopungua 100 yafurahi na kuongeza nguvu ya ulinzi!!!!!!!!!!!!! We acha tu- jibu ni mpaka Mungu a-intervene!!!!!!!!!!!!! Sisi hatutachoka kumwomba Mungu aondoe janga hili sisiemu na serikali yake ambayo imedhamiria kumaliza taifa; imefikia hatua hata waziri mkuu naye anadanganya taifa bila aibu kwa mambo mbayo yalitokea hapa nchini na wananchi ni mashahidi-hata aibu hakuna; sasa mbona hawataki bunge lijadili ripoti na wananchi wapime nani mwongo-lema au pinda!!!!!!!!!!
 
Hawajaguswa hao! Utashangaa akifa mmoja wao wanatangaza as if ye ni zaidi ya makumi walofariki!
 
Nina hasira...naombba siku moja wanajamii tuchangie mada kwa kutoa matusi ya nguoni tu maana tuondoe hasira zetu kwasababu unaweza ukatusi watu hadharani ukafungwe bure.
 
Ulitegemea rais kikwete atangaze angalau siku moja ya maombolezo au bendera kupepea nusu mlingoti? hakuna kitu kama hicho kwa sababu wanaomshauri wanafanana nae namna ya kufikiri na hawana cha kumwongezea.
 
Nina hasira...naombba siku moja wanajamii tuchangie mada kwa kutoa matusi ya nguoni tu maana tuondoe hasira zetu kwasababu unaweza ukatusi watu hadharani ukafungwe bure.

Mkubwa hasira hizo tunatakiwa tuzichanell mitaani kwa kufanya maandamano ya amani kupinga ubaazazi tunaofanyiwa na hawa mafisadi. Hiyo ina nafasi kubwa ya kufanikiwa. Matusi hayatasaidia kitu mkubwa.
 
CCM usalama wa Taifa wote Wa*se*nge hata raisi wa NEC M*SE*NGE mod kama vipi mie niban tuuu ila wote WA*SE*NGE nasema tena WA*SE*NGE ban ndugu yangu kama nimekosea ila WA*SE*NGE wote na NEC yao SE*NGE, serikali yote SE*NGE na waziri mwinyi MSE*NGE tena SE*NGE la nguvu, nimefurahi kutukani niban tu nimeridhika....
 
Back
Top Bottom