Hakuna malaya hapa duniani ni unafki tu unatusumbuwa, na hakuna demu wa bure hili lieleweke vizuri (wote wauza nyapu?)

Matola tofauti ipo bwana. Kwa yule anayeuza waziwazi huwezi kumla bila pesa yaani kama huna hela siku hiyo unakufa na ny*** zako wakati mwanamke wako anaweza kukupatia muda wowote bila kudai cash. Kitu kingine hivi unamaanisha hata waliooa nao wanauziwa sio? Maana hata wao wanahudumia sana tu
 
Malaya sio kupokea pesa tu baada au kabla ya Sex...bali malaya ni Mwanamke wa wote....malaya sio lazima ajiuze...anaweza akawa hta ofisini na kazi yke nzr tu..lakini akawa ni malaya..anaweza hata akawa mke wa mtu lakini malaya...na kuna tofauti ya malaya na muuza UCHI pia....malaya anaweza ikawa ana tabia ya kutembea na wanaume tofuti tofuti hta bila kupewa kitu,,ni tabia yake tu kutembea hovyo,,mwanaume anaweza akamrubuni kw maneno au chochote akampata..na anaweza asimpe chochote...lakini muuza uchi tendo halifanyiki bila kuona pesa kwnza..au ukishamaliza bila pesa zake hutoki..kwahiyo si kila mwanamke ni malaya na si kila malaya ni muuza uchi..
 
Waambie pia hao unaowatetea kua Siku hizi hakuna mwanaume wa bureee maana kama ni raha twapata wote! Ebbo!
 
Ukiitakata ZINAA Lazima ugharamike sio mwanamke Wala mwanaume.
 
Hapo kwa Diamond na Wema nakubaliana na wewe kuna siku tulibishana na dada yangu nikamwambia hebu tuhesabu wanaume uliotoka nao wewe tulinganishe na wa Wema tuone nani anao wengi zaidi... Tena Diamond ndo kabisaa ni mtulivu ukilinganisha na kaka zetu huku mtaani
 
Mwanamke muuza Uchi humli bila pesa....lakini malaya ni mwanamke anayetembea na kila mwanaume hata bila kupewa kitu..ni mwepesi kumpata hata ukimpiga sound tu unamla....buree...ndy maana hata mwanaume ukiwa na tabia hyo unaitwa malaya. ..bila kujali ww ni ME au KE...malaya linasimama vilevile
 
Mimi sikufichi, nikisema niwapange basi Fuso haitoshi lakini kwenye jamii ninayoishi mimi ni moja watu watulivu sana kwenye maswala hayo.

Tena ningemiliki uchumi kama wa huyo dogo Diamond basi huenda hata ningeshapata jina la marehemu tayari.

Kuna wake za watu wa ndoa kabisa jamaa wanaowala ukipiga hesabu wanazidi idadi ya mabwana aliodate nao Wema ambaye status yake ni single.
 
Kwa hiyo kama una mpenzi wako mnakulana bure bado utamuita malaya?
 
Haha eti fuso halitoshi duuh we kiboko
 
Kwa kuongezea

Malaya ni mwanamke au mwanaume Mwenye kuzini na wanawake tofauti tofauti kwa wakati mmoja

Kahaba huyu ni mwanamke mwenye kuuza mwili wake.


Kutoa Pesa kwa mpenzi hii n watu wameathiriwa na mazingira Mfno (iman yangu inaniambia mwanaume ana wajibu wa kumtunza mke wake kuanzia mavazi, Chakula na huduma Nyingne na mwanamke hatakiw kuomba ni Mwenyewe mwanaume ujiongeze) hii inapelekea wanawake wengi wakiwa wanawapenzi wao waone wana Haki ya kutuzwa kivyovyote vile hii inapelekea waonekane wote kundi moja na kahaba japo hamjahafikiana Malipo hapa kwa mwanamke mwenye kuomba huduma.


Na kwa mwanamke ambaye haombi huduma wewe mwenyewe ukajiongeza kumpa Huwez mwita Malaya Wala kahaba hayo ni mapenzi Yako tu yaliyokupelekea umpe.

Hitimisho wanawake tusifosi kuhudumiwa na wanaume tunaozini nao acha watuhudumie kwa mahaba yao. Mwenye wajibu wakukuhudumia ni mume wako wa ndoa. Tofaut na hapo tukiitwa makahaba tusilalamike.

Na mwanaume usimwite malaya au kahaba mwanamke uliyempa huduma yoyote kwa mahaba Yako Mwenyewe jiulize mpenzi wako akikupa Chochote bila kumuomba utakataa??
 
Kwa hiyo kama una mpenzi wako mnakulana bure bado utamuita malaya?
Nimesema malaya ni mwanamke/mwanaume anayefanya mapenzi na wanaume/wanawake wengi ndy tafsiri ya malaya..malaya sio lazima awe mwanamke..hata mwanaume km ana tabia hizo pia ni malaya...wapo wtu wanaishi na wake/ au waume zao wakati ni malaya huko mitaani...ila muuza uchi yeye kazi yake ni kuuza uchi,,na bila pesa humli...ila malaya unaweza ukamla hata bila pesa sababu yeye tabia yake tu ni kutembea na wanaume tofauti, ,,malaya unaweza ukamnunulia hata chips kuku tu ukaenda kumla hata bila kumpa pesa....ila muuza uchi chips atakula na pesa zake lazima uumpe...na hata huyo mpenzi wako kama ana wanaume 4 zaidi ya wewe means ni malaya..wengi tunaishi na malaya ndni bila kujijuwa...
 
Wanaume si kila tunayekula naye uroda ni mtu wako, mwingine mmegumiana tu mitaa flani sasa unamkomalia mpaka akupe mzigo, baadaye unamwachache? Hoja hiko hapo. Na mwingine mnajuana tu fresh.
 
Wanaume si kila tunayekula naye uroda ni mtu wako, mwingine mmegumiana tu mitaa flani sasa unamkomalia mpaka akupe mzigo, baadaye unamwachache? Hoja hiko hapo. Na mwingine mnajuana tu fresh.
Lakini sio kila mwanamke anaweza kufanya hivyo. Bado niko palepale si kila mwanamke 'anauza'
 
Unafiki ndio maisha yenyewe,bila unafiki maisha hayaendi.Kila mtu akiishi kwa ukweli wa nafsi yake dunia itasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…