Hakuna mahusiano yoyote kati ya mapenzi na pesa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Morng friends,

Sikia niwaambie kitu ambacho wengi wanakijua hila wanakificha au wanaogopa kukili kwamba ndio hali halisi.

Mapenzi hisia na utundu wako ukitaka wanawake wakupende au upige sana mbususu zao basi huwe na utundu ambao hajawai hupata sehemu nyingine yeyote.

Ukiona mwanaume anasema tafuta pesa hakuna mwanamke ambaye atakupenda huo ni uongo wa hali ya juu ukweli upo hivi.

Hawa wanaume wenzetu wanao toa pesa hili wapendwe ukichunguza wanamapungu mengi sana moja yao ni.

Kimoja chali, kitambi kikubwa kama ana mimba ya miezi tisa hana show mbovu kwahio anajua kwa mapungufu hayo hakuna mwanamke atakae mvumilia hata siku moja.

Kwahio anatumia nguvu nyingi na pesa nyingi kuhonga wanawake hili apate haja ya moyo wake na wanawake wamegundua hilo nao wanafanya maigizo makelele mengi wakati hakuna maajabu ukiona mwanamke anapiga kelele sababu ya kiba 100 ujue huyo ni msanii.

Na hawa wanaojifanya wana pesa wanatoka kifua mbele kuwa wana show kali mnadanganywa washikaji.

Mimi sina pesa hila najivunia utundu wangu na uhu HB nakula zangu kilaini situmii pesa labda nitake mwenyewe kutoa pesa.

MWISHO
 
Inawezekana hakuna uhusiano wa mapenzi na pesa ila kuna uhusiano wa mapenzi na kuhudumia, huduma hii ni ya ki mwili, ki saikolojia na kijamii. Pesa ni medium of exchange, unatoa pesa umnunulie mtoto mzuri chakula, mavazi au ujenge nyumba nzuri. Kama huna pesa huwezi kupata,

hitimisho

Kwakua dunia tulionayo hakuna barter trade, kuwa na pesa ni muhimu ili uweze kuhudumia, hivyo kuna uhusiano wa mapenzi na pesa ila hakuna uhusiano wa mapenzi na utajiri
 
Ukiishi kwa mitazamo unakosea sana
 
Mwanaume Ukikosa pesa basi weee jua kutromba tyu mbona watakuhonga wenyewe😎
wanawake Akili zetu tunazijua wenyewe in @cocastic voice
Leo chukua room ninunulie na Red Bull 3 uje nazo, ukiangalia mfukoni unabadirisha route

Mwanamke kipimo cha mwanaume kwake ni je ana pesa za kunihudumia, utakubari ukitrombwa ukiwa una njaa ya kufa tembo? Yaan jamaa hana hata 2000 ya kukunulia kiepe kikavu na mshkaki wa 500 ukate njaa, alafu anataka akutie utampa? Nazungumzia huduma maana hata kukutia ni anakuhudumia
 
Ni kweli Hakuna uhusiano kati ya mapenzi na pesa ila pesa ndio hunogesha penzi lenu.

Hakuna kitu kinampa mwanaume fahari Kama kuwa kwenye nafasi nzuri ya kumhudumia mwanamke wake.

Simaanishi kwamba lazima umpe mwanamke pesa Moja kwa Moja Bali unamhudumia katika njia mbali mbali Kama kumnunulia vocha, kumpa hela ya saloon akatengeneze nywele ili apendeze,kumtoa out na kumnunulia zawadi mbali mbali.
 
1. Pesa
2. 🍆
 
Lakini hivyo vyote usivipe kipaumbele hasa unapo anza kutongoza ndio maana mnachunwa mnakuja kulia huku
 
Back
Top Bottom