zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,679
- 3,218
Tunaelekea zama za siasa za ukweli. Zama za siasa ni uongo bye bye. Ni mara mia unipe rais anayekwambia nitabomoa na akabomoa kuliko kunipa rais anayekwambia nitabomoa lakini asibomoe.
Uongo hatutaki, na hiki ni kipimo kingine kwa upinzani kama kweli wanamaanisha wanachokihubiriga. Magufuli akiitekeleza sheria tunalalamika, je tunamtaka asiitekeleze?
Kukosoa tutamkosoa lakini pale inapobidi mfano ile ya kuwapa wakwepa kodi siku saba ilikuwa too low kwa standards za Magufuli.