Hakuna maendeleo bila uchungu

habi alex

Member
Dec 1, 2011
90
12
Napenda kutoa ushauri tu kuwa usitegemee mafanikio bila kujituma katika kazi. Wengi wetu tunapenda mafanikio kupata huku tunastarehe. Mafanikio hayaji overnight, ni mchakato ulio na vigingi na machungu mengi.

Usimuone mtu katika 50s years akiwa na nyumba, magari, mashamba nk, jua kasota sana na kang'ang'ania sana na hakukata tamaa.

Wito wangu tujitume na tusikate tamaa na tustick kwenye lengo tusiwe watu wa kukurupuka na kuhamahama katika malengo.
 
Back
Top Bottom