Hakuna kitu kinanipa raha Kama nikimuhonga mwanamke

Ndio maana bado unaishi kwenu mkuu.Subiri upange ujue maana halisi ya maisha utajutia sana pesa hizo unazohonga sasa hivi
 
Anyway subiri wanakuja pm sasa hivi maana hili tangazo lako limejitosheleza
 
Hahaha Mimi nimejenga kinyerezi tabata bhana.sikai kwetu..ila najisikia raha mno..nikimpa mwanamke hela in good faith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…