Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,903
- 27,619
Mtu kukukuta umekaa kwa utulivu, umeweka headphones zako masikioni, unafanya mambo yako halafu akaanza kukuongelesha upuuzi tu.
Hasa huku makazini, siyo lazima kila wakati tusemeshane.
Kama unataka kutongoza mwanamke au mdada unataka kumbebisha mwanaume, mtafute nje ya eneo la kazi. Tusifuatane fuatane kama mchwa na kuanzishiana story zisizo na kichwa wala miguu.
Wenye tabia hizo acheni 🤚🤚mnaboa sana 🤬😤
Asanteni na siku njema!