Hakuna kisa kinaniuma kama cha Hamani

Hakuna kisa kinaniuma kama cha Hamani

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
3,846
Reaction score
5,747
Hata bukubuku kamshutumu Hamani.!

Wakati Hamani ni uwakilishi halisi wa mtu kama Lissu Tz

Sema kisa kinaeleza kubaki ulivyo mbali na ubini

Hata kama kipindi kile kilitokea nisingekosa kuwa Hamani wa ukweli kwa Taifa langu..!, nini malipo kuwa nilivyo ni kutengwa. 🤗

Napenda utu wa Hamani
 
Kwa kutumia wimbo wa Bahati Bukuku usimfananishe Lissu na Hamani,Lissu hajawahi kuwa msaliti...

Waraka wa amani Uliowafanya wayahudi
Washindwe kula na kunywa wakati ule
Waraka wa amani Uliowafanya wayahudi
Washindwe kula na kunywa wakati ule.
Waraka ulioandikwa
Wayahudi wauwawe
Waraka uliotangazwa
Modekai anyongwe
Waraka ulioandikwa
wayahudi wauwawe
Waraka ulioandikwa
Modekai anyongwe.
Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme,
Esther akiwa ni malikia.
Ndipo modekai
Alirarua mavazi yake
Akavaa mavazi ya magunia
iIionyesha ya kwamba anaomboleza.
Akasimama mbele ya malikia aaa
Akamwambia Esther mama naomba sikia
Ujue umekuja Esther kwa wakati huu
hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu.
Hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Esther kwa maombolezo
Huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Esther aha
Alikwenda kwenye malangoni PA kifalume kinyume cha taratibu.
Esther aha
Kwa kutangaziwa alikwenda oho kinyume cha taratibu
Akamwambia eeeh mfalme ukiona vyema aha
Waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
Akamwambia eeeh mfalme hee
Ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
kamwambia eeeh mfalme hee
Ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
Esther kwa maombolezo
Huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akachukua fimbo yake akamnyoshea
Akasema ah,
Nini haja ya moyo wako
Oh nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Akasema ah,
Nini haja ya moyo wako
Oh nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Esther aha
Kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Esther aha
Kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema ah
Waweza kuniruhusu niandae karamu yangu
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema ah
Waweza kuniruhusu niandae nije na hamani
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema
Waweza kuniruhusu niandae karamu mnije na hamani
Ether kwa maombolezo
Huku wayahudi wakiendelea na maombi
Oh Hamani kwa kusikia sauti ya malkia oh, akapata sifa
Oh Hamani kwa kusikia ombi la malkia akajua ametembelewa
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema,
Sasa nimeandaa meza karibu mgeni
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema,
Sasa nimeandaa meza mje na Hamani
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akamuuliza swali tena naomba sema tena
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akamuuliza Esther tena naomba sema lolote
Esther
Kwa machozi akamwambia eh bwanayangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa
Na huyu adui wangu mtesi naye ni Hamani
Esther
Kwa machozi akamwambia eh bwanayangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa
Na huyu adui wangu mtesi naye ni Hamani
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Kwa ghadhabu akageuka na kumtazama hamani
Akasema Aha, mtoeni nje hamani
Tena Mvikeni sanda nyeusi akafie huko
Akasema Aha, mtoeni nje hamani
Tena Mvikeni sanda nyeusi akafie huko
Naamini naja kwako, kwako baba
nikilibeba taifa langu pamoja na watu wote
Naamini naja kwako, kwako baba
Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wote
Tazama Adui yetu shetani anatupiga vita
Tazama huduma tulizo nazo vinavyopigwa vita
Lengo lake haribu ilyo ndani yetu,
Lengo lake haribu ule mwili wa nje
eh Mungu wangu eh Mungu wangu eh Mungu wangu Eh Jehovah
El Shedai El Shedai El Shedai oh Jireh
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
Naomba umtazame Hamani wetu ni wapi alipo,
Naomba umtazame Hamani wetu ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
Kuna maHamani Wengi sana baba katika makanisa
Wapo maHamani Wengi sana katika makanisa
Wao Ni kuharibu huduma zisiendelee mbele
Wao ni kuchafua wachungaji wasiendelee mbele
Mtazame hamani wetu anayechafua huduma zetu
Mtazame hamani wetu anayechafua
Mtazame hamani wa sasa anayechafua habari zetu
Mtazame hamani wetu anayechafua
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
El Shedai El Shedai El Shedai oh Jireh
Eh Mungu wangu eh Mungu wangu eh Mungu wangu Eh Jehovah

Umesoma kisa kizima au umesikiliza tu wimbo wa Bahati Bukuku?
 
Kuuangalia waraka wa Hamani na Hamani mwenyewe inategemea umesimama upande gani ila dunia lazima ujue ni ku survive na mshindi ndie huandika historia
 
Kuuangalia waraka wa Hamani na Hamani mwenyewe inategemea umesimama upande gani ila dunia lazima ujue ni ku survive na mshindi ndie huandika historia

Unajua nini shida hufanya watu waungane

Sema Baada ya mmoja kuthubu huwa kiongozi na kitu cha ajabu na pekee ukiwa umetangulizwa mbele kama mpambanaji mtiifu

Unakuja kugundua hata unaowaita adui zako wa kupambana nao wana kitu wanapigania kwa wasio na hatia wao

Nimenena kwa habari ya Hamani kwakuwa alikuwa haelewi kwanini mfalme anawafeva wageni

Wakati waliapa kuwaangamiza watesi wao sasa nini kilimkuta
 
Umesoma kisa kizima au umesikiliza tu wimbo wa Bahati Bukuku?

Najua nilichoandika

Mimi nikisoma kisa chochote nahisi kila kitu

Moyo

Mavazi

Sauti

Kandambili

Itoshe kusema Esther she was bitch alikuwa mfitini wa sworn brotherhood

Napenda utu wa Hamani hata kama ni fiction
 
Kwa kutumia wimbo wa Bahati Bukuku usimfananishe Lissu na Hamani,Lissu hajawahi kuwa msaliti...

Waraka wa amani Uliowafanya wayahudi
Washindwe kula na kunywa wakati ule
Waraka wa amani Uliowafanya wayahudi
Washindwe kula na kunywa wakati ule.
Waraka ulioandikwa
Wayahudi wauwawe
Waraka uliotangazwa
Modekai anyongwe
Waraka ulioandikwa
wayahudi wauwawe
Waraka ulioandikwa
Modekai anyongwe.
Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme,
Esther akiwa ni malikia.
Ndipo modekai
Alirarua mavazi yake
Akavaa mavazi ya magunia
iIionyesha ya kwamba anaomboleza.
Akasimama mbele ya malikia aaa
Akamwambia Esther mama naomba sikia
Ujue umekuja Esther kwa wakati huu
hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu.
Hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Esther kwa maombolezo
Huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Esther aha
Alikwenda kwenye malangoni PA kifalume kinyume cha taratibu.
Esther aha
Kwa kutangaziwa alikwenda oho kinyume cha taratibu
Akamwambia eeeh mfalme ukiona vyema aha
Waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
Akamwambia eeeh mfalme hee
Ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
kamwambia eeeh mfalme hee
Ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
Esther kwa maombolezo
Huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akachukua fimbo yake akamnyoshea
Akasema ah,
Nini haja ya moyo wako
Oh nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Akasema ah,
Nini haja ya moyo wako
Oh nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Esther aha
Kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Esther aha
Kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema ah
Waweza kuniruhusu niandae karamu yangu
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema ah
Waweza kuniruhusu niandae nije na hamani
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema
Waweza kuniruhusu niandae karamu mnije na hamani
Ether kwa maombolezo
Huku wayahudi wakiendelea na maombi
Oh Hamani kwa kusikia sauti ya malkia oh, akapata sifa
Oh Hamani kwa kusikia ombi la malkia akajua ametembelewa
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema,
Sasa nimeandaa meza karibu mgeni
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema,
Sasa nimeandaa meza mje na Hamani
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akamuuliza swali tena naomba sema tena
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akamuuliza Esther tena naomba sema lolote
Esther
Kwa machozi akamwambia eh bwanayangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa
Na huyu adui wangu mtesi naye ni Hamani
Esther
Kwa machozi akamwambia eh bwanayangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa
Na huyu adui wangu mtesi naye ni Hamani
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Kwa ghadhabu akageuka na kumtazama hamani
Akasema Aha, mtoeni nje hamani
Tena Mvikeni sanda nyeusi akafie huko
Akasema Aha, mtoeni nje hamani
Tena Mvikeni sanda nyeusi akafie huko
Naamini naja kwako, kwako baba
nikilibeba taifa langu pamoja na watu wote
Naamini naja kwako, kwako baba
Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wote
Tazama Adui yetu shetani anatupiga vita
Tazama huduma tulizo nazo vinavyopigwa vita
Lengo lake haribu ilyo ndani yetu,
Lengo lake haribu ule mwili wa nje
eh Mungu wangu eh Mungu wangu eh Mungu wangu Eh Jehovah
El Shedai El Shedai El Shedai oh Jireh
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
Naomba umtazame Hamani wetu ni wapi alipo,
Naomba umtazame Hamani wetu ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
Kuna maHamani Wengi sana baba katika makanisa
Wapo maHamani Wengi sana katika makanisa
Wao Ni kuharibu huduma zisiendelee mbele
Wao ni kuchafua wachungaji wasiendelee mbele
Mtazame hamani wetu anayechafua huduma zetu
Mtazame hamani wetu anayechafua
Mtazame hamani wa sasa anayechafua habari zetu
Mtazame hamani wetu anayechafua
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
El Shedai El Shedai El Shedai oh Jireh
Eh Mungu wangu eh Mungu wangu eh Mungu wangu Eh Jehovah
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi

Acha kuelewa vitu kwa akili ya mchungaji
 
Back
Top Bottom