Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Wahitimu wa vyuo hawapo na wewe, wamepata tumaini jipya huenda kutokuwepo kwake wao watapata ajira,hapo unasemaje?
 
Nafikiri ufike muda watanzania walio wengi wajitambue na wafate sheria za nchi kama ilivyo, kisa wewe ni machinga umeruhusiwa kuziba njia kwa bidhaa zako isiwe sababu ya kuwaita watanzania wenzako fedhuli..mnakosea kwa sababu nyie hamfuati kanuni za miji mnafuata maagizo ya mtu binafsi balaa lake ndio hili mnaanza kulia lia kwa vile mwajua hakuna kiongozi mwenye weledi na uongozi atakaeruhusu machinga kupanga bidhaa barabarani.
Hao machinga waanze kutimuliwa barabarani hata leo kabla hata hatujapeleka msiba Dodoma.

Huwezi kuwa na watu ambao wanafanya biashara kiholela kwenye Karne hii ya 21.

Mpango wa kuwawekea maeneo yao ndio ambao ulikuwa unafaa. Huu ujinga wa machinga kufanya biashara popote ufike ukomo haraka iwezekenavyo.
 
Kama umeguswa sana, basi mfate marehemu huko alikoenda. Kama huzijui njia za kumfikia, naweza kuziorodhesha hapa kwa uchache.
Siyo wanyonge tu, hata mimi nisiyemnyonge siachi kufuta machozi na tupo wengi sana tuliohuzinishwa kwa kuondokewa na mtu aliyekuwa anarudisha tabasamu kwa wanyonge na kuwezesha tuendeshe magari yetu kwenye barabara zisizo na mashimo! Tukifuata huduma maofisini hatupotezewi muda!
Tukikaa home ama ofisini umeme haukatikikatiki! Nk. Hivyo Magu katugusa middle na high class pia!

Jicheki humo ndani 6a fuvu lako kama mna neurons au uporoto!




Jicheki humo ndani ya fuvu lako kama kuna neva au uporoto!
 
Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa
Tumwpewa hela tukusanyike barabarani halafu tu-act kama tumeguswa sana na kifo. Kimsingi tulikuwa tunafanya FUTUHI
 
Kila kitu kipo sawa kichwani pangu na ndio maana nasisitiza kawadanganye wagogo pengine watadanganyika
 
Kama umeguswa sana, basi mfate marehemu huko alikoenda. Kama huzijui njia za kumfikia, naweza kuziorodhesha hapa kwa uchache.
We kauzu kwelikweli! Nabaki kumuenzi na kudeal na makauzu! Hatuwezi tukawaacha mu'enjoy' hata kidogo!

Asante Magufuli kwa kuwajari wanyonge hawa👇

 
Kwenye kampeni (harakati) zake huko Zanzibar, alisema anajua Siri ya Mzee wetu (Raisi wetu awamu ya pili) Mzee Ali Hassan Mwinyi, ni kwa vipi ameishi Umri mrefu, Alisema ni kwa sababu ana wake wawili.

Nilistaajabu nae akitoa ahadi kuoa mke wa pili (tena kutoka Zanzibar) baada ya kumaliza muhula wake.

Alikuwa ni mtu asiye na uvumilivu hasa katika MDOMO/KINYWA chake...
Nakubaliana na wewe Magufuli kama binadamu hakuwa mkamilifu. Kosa la Magufuli ni kuwa alipewa mamlaka asimamie haki sawa kwa raia wote. Yeye akatumia nafasi hiyo kuacha wengine waonewe, wengine wauliwe bila kuchukua hatua na kudhani yeye peke yake ndiye pekee mwenye kuweza kuiongoza nchi. (Na amewahi kuuliza kama yupo atakayeweza kufanya yale anayofanya)

Sasa Mungu kamchukua ili aone kuwa wapo wengine watafanya kama yeye na zaidi bila hata kuonea na kusababisha maumivu kwa wengine.

Shida nyingine Magufuli kila alipofungua mdomo wake hakuwa mtu wa kuongea maneno ya faraja wala kuleta tumaini. Mara nyingi ametumia mdomo wake kukwaza watu na kutoa maneno ya kejeli na kuudhi. Cha kusikitisha zaidi hotuba yake ya mwisho mtaani alimwambia yule bwana anayejiita "Trump" aliyehoji kuhusu malipo ya choo maneno ambayo hayapaswi kutamkwa na kiongozi wa nchi hadharani.

Mimi kama binadamu mwenzake namwombea tu awe alitafuta amani na Mungu wake katika siku zake za mwisho. Na Mungu amsamehe na kumpa pumziko la milele.
 
Hata jasiri miongoza njia alitandikiwa kanga barabarani je naye alikuwa anakubalika kushinda marehemu jpm? Pamoja nakuwa kitombi lakn walitandka kanga

N hulka yetu binadamu kushkwa na hisia huwez amin idd Amin alipofarik mm nilitokwa na machoz baada ya kuujua ukweli was maisha yake

Magu aliuukaribia udikteka MUNGU ndye anayejua jamaa alivuruga umoja wa kitaifa kwenye kivuli cha UZALENDO

SITASHANGAA SIKU S NYINGI MKIANZA KUMPAMBA MAMA SAMIA CCM N WANAFIKI WATAFUTA TEUZI TU
 
Ukimpenda sana mtu unamfuata huko aliko...
Nyambafu sana nyie #mataga...
Mnatusumbua sumbua hapa wakati mnatumia VPN kama sisi wengine!!
 
Unapoteza mb na muda wako kupost ujinga. Kila mtu anahoji itakuwaje maana JPM ameondoka. Tumia akili hatanya kuazima
Itakuwaje kwan yeye aliumba nchi hii acheni kuwa na mawazo mgando nyie watu hata nyerere alipong'atuka kuna wapuuz Kama nyinyi walihoj itakuwaje nch n ya watanzania kila mtu anahaki ya kuongoza
 
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.

Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.

Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
😢
😢
😢

Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huku uendako

Lesson learnt!😭😭
Even those who criticize him, the truth is within their inner hearts. The grounds he set shall stand!!!
 
Ukimwona mtu msibani analia sana na kuapiza wengine kana kwamba aliyefiwa ni yeye pekee au yeye ndiye mmiliki wa msiba "MWOGOPE!!" Kama sio MCHAWI basi ana MANUFAA NA MSIBA HUO.
R.I.P JPM.
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Mchana huu nilikuwa mitaa ya Kinondoni, Magomeni na Ilala huko nimekuta watendaji wa mitaa wapo bize kuwafurusha watu kwenda barabarani na uwanja wa uhuru kutengeneza show (kugalagala, kulia, nk).
In fact, kuna watendaji ambao wameshapanga kutoa usafiri bure wa kwenda na kurudi. Na msosi juu!

Mwacheni Magufuli apumzike. Machozi ya sisi wazazi na walezi wa binti yetu Aquilina labda yataanza kukauka sasa. Ebeneza!!
 
Back
Top Bottom