Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Hujasikia Tangazo la kukataza kufanya sherehe yoyote mpaka siku 21 ziishe?
Watz wataendelea kulazimishwa kufanya tofauti na matakwa yao hadi lini?

Kwa katazo hilo ni wazi utagundua nini kinaendelea kwenye huu msiba.
Sitashangaa kama hao watu wametengenezwa kama ambavyo akina mwamposa wanaset watu wao.

Kwanini ulazimishe watu wahuzunike pamoja na wewe?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
We kauzu kwelikweli! Nabaki kumuenzi na kudeal na makauzu! Hatuwezi tukawaacha mu'enjoy' hata kidogo!

Asante Magufuli kwa kuwajari wanyonge hawa👇

Shida ya kuwa mnyonge ni laana. Na Watanzania wenye akili zetu timamu hatuwezi kukubali kujitia laana. Wewe kama unafurahia huo unyonge basi baki nao mwenyewe na wenzako huko huko umachingani.
 
Mie

Mie simo kwenye kundi hilo, na wala siyo laana kama unavyotaka iwe! Hawa na platform ya kuonyesha matendo ya huruma na upendo!
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Raia wa Liberia walijaa barabarani kushuhudia maiti ya Samweli Doe, uliza hata kwa jirani yako mwenye akili Doe alikuwa nani Liberia.
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Hizo nyimbo za mapambio mwezi wa nne zitakuwa zimeisha kabisaaa.
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Kaa ulivyo dogo, ukikua utaelewa maana jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!
 
Wahindi na waarabu siwaoni kwenye kuaga

Mama Samia naomba tenda zote ukishika madaraka usimpe mhindi wala mwarabu hadi muda huu masaa kibao sijaona mhindi au mwarabu akimuaga Marehemu Magufuli.Akufaaye kwa dhiki ndie Rafiki naona wahindi na waarabu wametususia watanzania ngozi nyeusi.Sio kesi .Wanajitia watanzania wenzetu msibani hadi muda huu hawajatokea .Heri utoe tenda kwa waswahili kuliko hawa wahindi na waarabu

Mabalozi wa nje pia kuna aliyewaona kuaga? ili tumshauri vizuri Raisi wetu?
Watu wametuma ujumbe......

Mbona MO alikuwepo UHURU
 
Mie

Mie simo kwenye kundi hilo, na wala siyo laana kama unavyotaka iwe! Hawa na platform ya kuonyesha matendo ya huruma na upendo!
Sasa kama haumo shobo za nini!? Wewe waache wabaki na unyonge wao huko.
 
Hakika Hawa maskini na wanyonge ni wajinga Kama wanamlilia hayati JPM.
Bei za bidhaa km sukari na dagaa ziko juu,vifaa vya ujenzi juu, thamani ya fedha imeporomoka,mauaji balaa,wamlilie kwa lipi?!
 
Kwa hakika Magufuli alikuwa ni kipenzi cha watu ukiacha wachache wasiozidi 2% ambao kwa vyovyote vile walimpinga na wataendelea kumpinga hata kama ametangulia mbele za haki.
Kwa jinsi mambo yalivyokuwa leo wakati wa kuuaga mwili wa marehemu, ni dhahiri kwamba JPM alikuwa ni kipenzi cha watu.
Ukiona jinsi watu walivyoangua kilio, walivyogalagala, walivyotandika nguo zao barabarani, walivyozimia nk, unagundua kuwa JPM alikuwa ni Rais wa pekee sana.
Mimi naamini mpaka sasa Roho yake ipo mbinguni. Amina.
 
M
Hakika Hawa maskini na wanyonge ni wajinga Kama wanamlilia hayati JPM.
Bei za bidhaa km sukari na dagaa ziko juu,vifaa vya ujenzi juu, thamani ya fedha imeporomoka,mauaji balaa,wamlilie kwa lipi?!
Mjinga ni ww usiyejua yanayoendelea ktk maisha yao! Kazi tu kujaza maandishi mitandaoni ukiwa mbali na uhalisia!
 
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi.

Kaka yangu aliuawa kikatili kwa Mapanga, Ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe, Polisi bila hata uchunguzi wakatoa statement kwamba kauawa kwa ugomvi wa mapenzi pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa CCM na ambazo kabla marehemu aliripoti mwenyewe polisi hakuna hata mmoja aliyekamatwa.

Kisa ni kaka kuwa Diwani kupitia chadema, wakaamua kumuua kikatili kwa mapanga. RIP bro, RIP Azory Gwanda, RIP Ben Saanane
😢
😢
😢

Lala milele Dikteta Jiwe, Usiamke tena na uwe kuni huko uendako
Sasa unadhani kaka ako magufuli anamjua? Hata ungemtajia jina ... wauwaji wa kaka yako wako mtaani bado you’re just looking for scapegoat
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.
Huo ndio ukweli mtupu. Umesema kitu sahihi ndugu sina cha kuongeza. Shukran
 
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu.

Lakini leo hii tumepata picha kamili, wazalendo, wamachinga, wakinamama tumeshudia wakilia na kugaagaa mabarabarani hii ni kwa sababu wanajua pengo lake litakuwa ngumu kuzibwa.

Mabaradhuli na mafedhuli mnapoteza muda maana nyie ni kama 1% ya wanaoichukia Tanzania. Maana 99% wanaipenda Tanzania na leo mmeshuhudia.

Well said mkuu, barikiwa sana - ni kweli kundi/ gege hilo ovu ndilo linaongoza katika crusade ya kumsema sema vibaya marehemu JPM unaweza kufikiri labda si Watanzania vile - wanaonekana wazi wazi wame-rejoice kutokana na kifo chake - wanajitia kusahau alivyo ji-sucrifice kutuletea maendeleo makubwa ya Taifa letu ndani ya muda mfupi sana (miaka mitano) kitu ambacho awamu zilizopita hazikuwahi kuwa hata na ndoto za kufanya maajabu ya kumfikia mbunifu JPM, ambaye kusema kweli alikuwa ni zawadi kutoka kwa mwenyezi Mungu, sisemi alikuwa malaika la hasha lakini ni vyema tuki muhukumu kwa mazuri aliyo litendea Taifa letu, sio tunaleta lawana na itikadi za vyama 24X7.
 
Back
Top Bottom