Hakuna Jipya Katika Mkutano wa Magufuli Leo Jangwani

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Pamoja na nguvu kubwa ya mabasi ya UDA na coasters za kukodi nyingi kuzunguka jiji lote kukusanya watu lakini sijasikia jambo jipya pale zaidi ya ahadi amnazo miaka yote wanazirudia kwenye kampeni. Wazee wao wote walikuwepo ila mipasho tu ndio iloyogarimu pesa nyingo pale za wasanii na mabasi ya kusomba watu.
 
We ulitaka jipya gani?Kama la lowasa kuwaombea ccm kura kule ifakara amaaa?Acha ulofa wewe,ona mwenzako katuliza kitenesi huyuView attachment 302202
 
Hawa jamaa wasiposomba na kutoa posho hawapati hadhira kabisaaa,leo nimeshuhudia.mabasi ya mkoani yameleta watu yakawamwaga pale lumumba,alafu coster zile za kijni za kariakoo temeke na poster temeke zimesomba.ukanda.wa temeke,uda.zikazomba.pande.zingimlne mbalimbali za.jiji na nje ya jiji.Utofauti na mkutano wa Lowasa watu wanaenda wenyewe na kwa wingi zaidi.
 
Magufuli anajua kucheza na hadhira!

Mtoto wangu wa mwaka mmoja na nusu ametamka neno magufuli oyee
 
Kwani wewe ulitaka angefanya kipi labda kwa mfano ili uone kua ni kipya?haya uko jangwani ninyi wanaukawa hua mnatembea wote mpaka uko? Chama kimeamua kuwabeba nao wamekubali nyinyi kinawauma nini kwa mfano.
 
Back
Top Bottom