Hakuna jipya alilolisema Nchimbi.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,929
Reaction score
141,890
Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba.

Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema.

Tunaweza hata kusema kuwa kaiga hoja zetu bila kutaja alikozitoa.

Kwa mfano, kuna mabandiko yangu mengi tu humu ambapo ninasema kuwa katiba mpya na iliyo bora itakuwa na manufaa kwa wote, ikiwemo hadi CCM wenyewe.

Nimekuwa nikisema hivyo toka 2005!!

Akisema Ngabu, hakuna nongwa.

Ila akisema Nchimbi, walamba makalio wanaanza kumsifia sifia.

Hapo ndo ujue kuwa baadhi yetu humu huwa tuko mbele sana ya muda.

Kesho na keshokutwa huyo Nchimbi akisema kuwa ‘Niafrika ndivyo tulivyo’, walamba makalio kama yule Ngosha feki watakuja na kila aina ya mabandiko yanayomsifia Nchinbi kwa kuwa msema kweli 😀.

Naungana na wale wote ambao wana mashaka na hizo kauli za huyo Nchimbi.

Muda utaongea.
 
nchimbi ni attention seeker
 
Jana nimeingia mitandaoni kuangalia maoni ya watanzania jinsi walivyoichukua kauli ya Nchimbi hakika wabongo wengi wameamka Sana.
Kwa kifupi wabongo wamekuwa na mashaka na statement ya Nchimbi
Watanzania wameamka sana mkuu na wanshitaji maendeleo ya kweli na uchungu wanapata waliona bara bara zikijengwa ila sasa hivi hakuna kitu kinafanyika utegemee wakuamini..
 
Rejea "mnavyotaka ninyi ndivyo tunavyotaka sisi"
 
Nyani ngabu Mimi ni Tomaso kwa sisi wasukuma tunasema (MPAKA BONA) MPAKA KUONA.
 
Katiba mpya tumeiongelea siku zote, VP hana jipya.

Kwanza alikuwapo kwenye Bunge la Katiba la 2014-15 na ni mmoja wa walioshindwa kutupa Katiba mpya licha ya kutumia mablioni ya Tshs.

Anajuwa namna walivyoipiga chini rasimu ya Warioba na kuleta ile nyingine chini ya akina Chenge.

Ni mnafiki mwingine tu
 
Hawa wanaojiita viongozi akili zao zina soma 1961
hawajui hiki ni kizazi kingine kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…